Crimea
JF-Expert Member
- Mar 25, 2014
- 25,874
- 36,030
Umepanic mankaNyeto moja tu ingeliepusha Taifa na hii laana.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Umepanic mankaNyeto moja tu ingeliepusha Taifa na hii laana.
Kama mbowe alivyo muua Chacha wangwe na mlinzi wake pamoja na ben saanane tukasema mkakataa hapa sasa wacha majibu yake yatoke ndo mtajua kumbe ilikuwa ni kweli.
== Sumu haionjwi==
Cholleni tu ila gaidi ndo hivyo tena za mwizi ni alobaini.Kile kizazi cha kulishwa propaganda za kizee kilishapita, kwasasa tunawachora tu.
Kumbe msanii ambae alikuwa anaongelewa na yule mmiliki wa hoteli ni nandy😮Ya kutisha hayo ni yale ambayo yamewekwa wazi bado yale ambayo watu walipotezwa kimya kimya bila kupata nafasi ya kuja kuyaeleza,bado ya ubakaji ambayo ushahidi wake ni ngumu kuthibitisha maana waliotendwa hawakureport siku ile ya ubakaji na kuweza kupimwa.
Hata wa 1,000 tu Upo! Inategemea ni katika mazingira gani. Kuna to gaidi wa bila hata thumni. Lolote lawezekana chini ya jua. Acha upunguani wa kuamini Mbowe ni Malaika. Tusubiri mahakama ituongozeKwa akili zako wewe duniani kuna ugaidi wa 600K!!!?
hidi wa nani kwamba lilikuwa genge la hao uliowataja?
Kumbe msanii ambae alikuwa anaongelewa na yule mmiliki wa hoteli ni nandy😮
Ah jamaa alikuwa zaidi ya shetani acha alipie uovu wake asee
Hakuna lolote mzeeHakuna untouchables nchi hii, kama mbowe atathibitika kuwa gaidi basi wacheni nkanyee mtondoo.
Wewe kiongozi wa chama halali cha siasa,unaanzaje mahusiano na makomandoo waliofukuzwa jeshini?
Halafu watu mnapasukwa mishipa ya shingo,bila kufanya tafakuri.
Tatizo linaanzia hapa!Mahakama imethibitisha tulichojua kabla na sio tumejua baada ya mahakama kuthibitisha.
Nilimtetea mwendazake kwa jinsi alivyoinyoosha nchi kama angekuwa mahabusu nisingemtetea mpaka ningejua hukumu inasemaje!Kama umekir ivo kwa huyu ujue na mwendazake ndo aliluwa anayafanya zaid ya haya sema hakupelekwq mahakaman.,..ulikuwa unashupaza shingo sanaa kumtetea mwendazakee bilq kujua upande mwngine wa sarafu
Tukikwambia Mbowe anahusika na kifo cha Chacha wangwe,kumtesa mlinzi wa dk slaa na kuwatisha sumaye na mwambe kuwa walambe sumu zote hizo ni dalili kuwa mbowe ni mhalifu ila haikamiliki bila ya kuthibitishwa na mahakama!Ni hivi, kundi la Magufuli, Makonda, Sabaya na lile genge lake la watu wasiojulikana, tuliweka sana ukatili wao hapa jukwaani na hadharani. Watu wengi walitekwa, kuuwawa na kufanyiwa unyama na hilo genge, nyie watetea ukatili ndio mlikuwa mnajifanya kufumbia macho ukweli ule.
Tukikwambia Mbowe anahusika na kifo cha Chacha wangwe,kumtesa mlinzi wa dk slaa na kuwatisha sumaye na mwambe kuwa walambe sumu zote hizo ni dalili kuwa mbowe ni mhalifu ila haikamiliki bila ya kuthibitishwa na mahakama!
Sasa ndo umesema nini?yaan sabaya yy kasema alikuwa anatumwa na huyo mwenda zake...mpk hapo ni nini hujajua?..ndo maana huwa tunadai katba mpya kuondoa umungu mtu alionao RaisNilimtetea mwendazake kwa jinsi alivyoinyoosha nchi kama angekuwa mahabusu nisingemtetea mpaka ningejua hukumu inasemaje!