Hatukutaka Mashehe wafutiwe kesi tu, kilichotakiwa ni haki itendeke ili kuepuka kejeli

Hatukutaka Mashehe wafutiwe kesi tu, kilichotakiwa ni haki itendeke ili kuepuka kejeli

Mtu anakaa ndani miaka 9 then usiku wa manane DPP anaibula na kudai eti “Serikali haina mpango wa kuendelea na kesi hii….”

Kuna haki za watu zimeminywa na kuna haja ya kuwa na sheria mpya nyingine itakayolenga kuwalinda/kuwafidia wahanga wa vitu vya namna hii
 
Wale sio magoi goi kama unavyofikiri ni watu na akili zao timamu na hili halijaisha ,unaposema wathubuu wathubutu kitu gani panua vizuri ufahamike.
Wangekuwa siyo magoigoi wangekaa mahabusu miaka 9 bhana!?? Usiwape promo watu walioachiwa kwa huruma.
 
Wakitulia bila kuingilia tena imani za watu wengine,kuchoma makanisa,kumwagia tindikali wachungaji,na kuwaumiza wengine wa imani tofauti na yao hawataitwa magaidi tena
Kuchoma makanisa ,umeona !!! ,sasa hapo ndio nikasema ni lazima wasafishwe ,imani za watu tunaziona kina mazinge majuzi wamefanya Mhadhara nafikiri ukweli umeuona.

Kama hilo lina ukweli leo hii wangekuwa weshahukumiwa,watafuteni wanaochoma makanisa ila sio WaZanzibari ,watu wenye uelewa wa dini yao.
 
Tunahitaji iendelee na ithibitishe ugaidi wao maana kule Mtwara kunawaka moto hamuoni kama itakuwa rahisi kwa wao sasa kuhamia rasmi ndani ya mapambano kuliko kukaa kwenye viwanja vya mpira wakipigana jihadi mnayoijua nyinyi.
Serikali haihitaji, kwa hiyo kwa kawaida mwenye mahitaji ndio huwa anchukua hatua
 
Wangekuwa siyo magoigoi wangekaa mahabusu miaka 9 bhana!?? Usiwape promo watu walioachiwa kwa huruma.
Miaka tisa hamna ushahidi wa kuwatia hatiani,ushahidi huo wa ugaidi haupo na hautakuwepo hata wangekaa miaka elfu. sijui ulikuwa unaiuatilia ile kesi ,kuna watu nyie mliofungua mashitaka mliwataja kuwa wanashirikiana nao kwa taarifa yako ushahidi wenu ulishindwa kuwatafuta kuwapata waliingia lini nakuotka nchini mliyapanga yakawashinda wenyewe.
 
Kuchoma makanisa ,umeona !!! ,sasa hapo ndio nikasema ni lazima wasafishwe ,imani za watu tunaziona kina mazinge majuzi wamefanya Mhadhara nafikiri ukweli umeuona.

Kama hilo lina ukweli leo hii wangekuwa weshahukumiwa,watafuteni wanaochoma makanisa ila sio WaZanzibari ,watu wenye uelewa wa dini yao.
Kwanini tangu washikiliwe kwa miaka 9 hiyo hatukuona tena watu wakimwagiwa tindikali, makanisa yakichomwa, mapdre wakiuawa na wadada wasiojisitiri wakipigwa? Ushahidi wa kimazingira huu.
 
Huyu atakuwa shabiki wao tu. Waliokuwa jela wanaogopa hata kutamka neno "serikali".
Wenyewe hawajauliza haya maswali waliingia wakati wa Shein na Kikwete wametoka wakati wa Samia miaka Tisa ya giza totoro wameona watu wakifa gerezani na wengine wakiumwa afu anakuja na maswali ya kiburi cha uhuru.
 
Miaka tisa hamna ushahidi wa kuwatia hatiani,ushahidi huo wa ugaidi haupo na hautakuwepo hata wangekaa miaka elfu. sijui ulikuwa unaiuatilia ile kesi ,kuna watu nyie mliofungua mashitaka mliwataja kuwa wanashirikiana nao kwa taarifa yako ushahidi wenu ulishindwa kuwatafuta kuwapata waliingia lini nakuotka nchini mliyapanga yakawashinda wenyewe.
Ndiyo maana tunasema bora watulie tu. Kama shekhe Muselem alivyosema wao wanashukiru kwa yote. Na kaongeza kusema "yaishe".
 
Kwanini tangu washikiliwe kwa miaka 9 hiyo hatukuona tena watu wakimwagiwa tindikali, makanisa yakichomwa, mapdre wakiuawa na wadada wasiojisitiri wakipigwa? Ushahidi wa kimazingira huu.
Utaona wapi na mshafanikiwa kuiba kura na kujitwika ushindi ,kwani sasa hivi unasikia Pemba watu kupigwa risasi ? we wawapii ?Unaijua siasa au unaisikia ?
 
WaZanzibari hawakutaka mashehe waachiwe kama ilivyotokea wameachiwa na watu wasiojulikana kwani hata mawakili hawakutaarifiwa walisikia tu mashehe wa au wateja wenu wameonekana mitaani...
Watu walipwe fidia na waliosababisha hayo madhika kwa masheikh wachukuliwe hatua stahiki ili iwe funzo kwa viongozi wanaobambika kesi kwa wakosoaji mfumo.

Pasi hivyo haki zitaendelea kukanyagwa kana kwamba aliyeonewa akanyanyaswa na kudhalilishwa kuonekana kapewa hisani.
 
Ukisikia kejeli ndio hizo na inaonekana umedumaa akili.
Tunataka tujue wameachiwa kama nani nikimaanisha ni lazima waliowafunga miaka tisa watamke iwe ndani ya mahakama au kwenye vyombo ili kuwasafisha ,huwezi ukawaachia watu mitaani tu ,hawa bado wanamoyo hawajafa wapo hai,wasio na adabu tunawaona wanawapigia makelele na kuwazomea kwa mbali wakiwatita magaidi ...gaidi huyooo ,hilo oo gaidi na maneno mengi ya kudhalilisha,sijui umenielewa.
... rahisi sana; wakafungue kesi ya kupinga kuachiwa kwao na jamhuri ilazimishwe kuieleza mahakama waliwekwa ndani kwa makosa yapi. Very simple.
 
Utaona wapi na mshafanikiwa kuiba kura na kujitwika ushindi ,kwani sasa hivi unasikia Pemba watu kupigwa risasi ? we wawapii ?Unaijua siasa au unaisikia ?
Mbona unahakisha magoli tena? Tunaongelea watu kumwagiwa tindikali, mapdre kuuawa na makanisa kuchomwa moto. Naona unakimbilia kwenye ulingo wa siasa tena.
 
Mwanamageuko umebaeleza hao waelewe undani wa hoja wanavamia kama viwavi jeshi hata hawana kiini cha kinachotakiwa kufanywa.​

Mazuzu san,a watu wengine wao wanaona tupo au tunashabikia mashee !!
Hata nikidai aliemtolea Nape pistoli atafutwe ili ule ubabe usafishwe sijui utasemaje ?
 
Sijajua point ya lalamiko ni ipi?
Itakuwa haujawafahamu wasikilize vizuri sana ,mtu asietenda kosa hakubali kirahisi kama unavyosema na yupo tiyari kufa kuliko aliendenda kosa katika kudai haki yake. Sasa mmeshindwa hata kuwasafisha mbona ziko kamati za upatanishi ,aitwe yule aliewambia wataenda kunyea debe asuluhishwe na ijulikane na uwazi uongelewe kuwa ni sababu za kisiasa naamini mashee watawasamehe kina babu ali .lakini kuwaachia mitaani na kuwaonya hili na lile ,hio sio jambo jema, kisaikolojiya unawaathiri.
 
Wewe ulikuwa umefungwa? Unajua kadhia ya kukaa rumande au kufungwa? Unajua kabla ya kuachiwa wamekubaliana nini? Cha msingi wameachiwa. Haya mambo ya kila kitu kutaka msindi, haitakaa kutokea raia kuishinda serikali.
Tunataka sote tuishi kwa amani. Haki anagawa Mwenyezi Mungu.
*$$$$
 
Kuchoma makanisa ,umeona !!! ,sasa hapo ndio nikasema ni lazima wasafishwe ,imani za watu tunaziona kina mazinge majuzi wamefanya Mhadhara nafikiri ukweli umeuona.

Kama hilo lina ukweli leo hii wangekuwa weshahukumiwa,watafuteni wanaochoma makanisa ila sio WaZanzibari ,watu wenye uelewa wa dini yao.
Unakumbuka enzi zile zilizoshamiri za kuchomwa kwa makanisa?. Kumwagiwa tindikali mapadree na wachungaji?. Kuuawa kwa watu wenye imani tofauti na ya hao?. Enzi za mihadhara ya kichochezi? Lakini baada ya hao kukamatwa na kuwekwa ndani kulitulia mpaka leo hii. Labda tu zianze tena hizo vuguvugu baada ya hao kutolewa.
 
Sasa mbona walikubali kuachiwa? si wangebaki ndani mpk haki itendeke?
Ulikuwa unataka wagome kama alivogoma Mchungaji Pitter Msigwa, baada ya kulipiwa faini na MWENDAZAKE?
 
Back
Top Bottom