Mkuu hapa itakuwa ni sawa na kupoteza muda tu. Anayelalamikiwa kuwa hakutenda haki (serikali) ndiyo hiyo hiyo inapelekewa kesi ya kuiomba haki hiyo (maana mahakama zetu haziko huru).... rahisi sana; wakafungue kesi ya kupinga kuachiwa kwao na jamhuri ilazimishwe kuieleza mahakama waliwekwa ndani kwa makosa yapi. Very simple.
Inaweza kupigwa danadana hii kesi isisikilizwe miaka 99. Au kutafutiwa technicality error yoyote ikafutwa. Ama wakakomolewa wanaoidai haki kwa kukamatwa kwa uhujumu uchumi.
Kumbuka katiba yetu ni mbovu...