Consultant
JF-Expert Member
- Jun 15, 2008
- 11,503
- 20,892
Wangekuwa siyo magoigoi wangekaa mahabusu miaka 9 bhana!?? Usiwape promo watu walioachiwa kwa huruma.Wale sio magoi goi kama unavyofikiri ni watu na akili zao timamu na hili halijaisha ,unaposema wathubuu wathubutu kitu gani panua vizuri ufahamike.
Kuchoma makanisa ,umeona !!! ,sasa hapo ndio nikasema ni lazima wasafishwe ,imani za watu tunaziona kina mazinge majuzi wamefanya Mhadhara nafikiri ukweli umeuona.Wakitulia bila kuingilia tena imani za watu wengine,kuchoma makanisa,kumwagia tindikali wachungaji,na kuwaumiza wengine wa imani tofauti na yao hawataitwa magaidi tena
Huyu atakuwa shabiki wao tu. Waliokuwa jela wanaogopa hata kutamka neno "serikali".Ulikuwa nao jela?au uko nje?
Serikali haihitaji, kwa hiyo kwa kawaida mwenye mahitaji ndio huwa anchukua hatuaTunahitaji iendelee na ithibitishe ugaidi wao maana kule Mtwara kunawaka moto hamuoni kama itakuwa rahisi kwa wao sasa kuhamia rasmi ndani ya mapambano kuliko kukaa kwenye viwanja vya mpira wakipigana jihadi mnayoijua nyinyi.
Miaka tisa hamna ushahidi wa kuwatia hatiani,ushahidi huo wa ugaidi haupo na hautakuwepo hata wangekaa miaka elfu. sijui ulikuwa unaiuatilia ile kesi ,kuna watu nyie mliofungua mashitaka mliwataja kuwa wanashirikiana nao kwa taarifa yako ushahidi wenu ulishindwa kuwatafuta kuwapata waliingia lini nakuotka nchini mliyapanga yakawashinda wenyewe.Wangekuwa siyo magoigoi wangekaa mahabusu miaka 9 bhana!?? Usiwape promo watu walioachiwa kwa huruma.
Kwanini tangu washikiliwe kwa miaka 9 hiyo hatukuona tena watu wakimwagiwa tindikali, makanisa yakichomwa, mapdre wakiuawa na wadada wasiojisitiri wakipigwa? Ushahidi wa kimazingira huu.Kuchoma makanisa ,umeona !!! ,sasa hapo ndio nikasema ni lazima wasafishwe ,imani za watu tunaziona kina mazinge majuzi wamefanya Mhadhara nafikiri ukweli umeuona.
Kama hilo lina ukweli leo hii wangekuwa weshahukumiwa,watafuteni wanaochoma makanisa ila sio WaZanzibari ,watu wenye uelewa wa dini yao.
Wenyewe hawajauliza haya maswali waliingia wakati wa Shein na Kikwete wametoka wakati wa Samia miaka Tisa ya giza totoro wameona watu wakifa gerezani na wengine wakiumwa afu anakuja na maswali ya kiburi cha uhuru.Huyu atakuwa shabiki wao tu. Waliokuwa jela wanaogopa hata kutamka neno "serikali".
Ndiyo maana tunasema bora watulie tu. Kama shekhe Muselem alivyosema wao wanashukiru kwa yote. Na kaongeza kusema "yaishe".Miaka tisa hamna ushahidi wa kuwatia hatiani,ushahidi huo wa ugaidi haupo na hautakuwepo hata wangekaa miaka elfu. sijui ulikuwa unaiuatilia ile kesi ,kuna watu nyie mliofungua mashitaka mliwataja kuwa wanashirikiana nao kwa taarifa yako ushahidi wenu ulishindwa kuwatafuta kuwapata waliingia lini nakuotka nchini mliyapanga yakawashinda wenyewe.
Utaona wapi na mshafanikiwa kuiba kura na kujitwika ushindi ,kwani sasa hivi unasikia Pemba watu kupigwa risasi ? we wawapii ?Unaijua siasa au unaisikia ?Kwanini tangu washikiliwe kwa miaka 9 hiyo hatukuona tena watu wakimwagiwa tindikali, makanisa yakichomwa, mapdre wakiuawa na wadada wasiojisitiri wakipigwa? Ushahidi wa kimazingira huu.
... ha ha ha!Sasa mbona walikubali kuachiwa? si wangebaki ndani mpk haki itendeke?
Watu walipwe fidia na waliosababisha hayo madhika kwa masheikh wachukuliwe hatua stahiki ili iwe funzo kwa viongozi wanaobambika kesi kwa wakosoaji mfumo.WaZanzibari hawakutaka mashehe waachiwe kama ilivyotokea wameachiwa na watu wasiojulikana kwani hata mawakili hawakutaarifiwa walisikia tu mashehe wa au wateja wenu wameonekana mitaani...
... rahisi sana; wakafungue kesi ya kupinga kuachiwa kwao na jamhuri ilazimishwe kuieleza mahakama waliwekwa ndani kwa makosa yapi. Very simple.Ukisikia kejeli ndio hizo na inaonekana umedumaa akili.
Tunataka tujue wameachiwa kama nani nikimaanisha ni lazima waliowafunga miaka tisa watamke iwe ndani ya mahakama au kwenye vyombo ili kuwasafisha ,huwezi ukawaachia watu mitaani tu ,hawa bado wanamoyo hawajafa wapo hai,wasio na adabu tunawaona wanawapigia makelele na kuwazomea kwa mbali wakiwatita magaidi ...gaidi huyooo ,hilo oo gaidi na maneno mengi ya kudhalilisha,sijui umenielewa.
Mbona unahakisha magoli tena? Tunaongelea watu kumwagiwa tindikali, mapdre kuuawa na makanisa kuchomwa moto. Naona unakimbilia kwenye ulingo wa siasa tena.Utaona wapi na mshafanikiwa kuiba kura na kujitwika ushindi ,kwani sasa hivi unasikia Pemba watu kupigwa risasi ? we wawapii ?Unaijua siasa au unaisikia ?
Seen... ha ha ha!
Itakuwa haujawafahamu wasikilize vizuri sana ,mtu asietenda kosa hakubali kirahisi kama unavyosema na yupo tiyari kufa kuliko aliendenda kosa katika kudai haki yake. Sasa mmeshindwa hata kuwasafisha mbona ziko kamati za upatanishi ,aitwe yule aliewambia wataenda kunyea debe asuluhishwe na ijulikane na uwazi uongelewe kuwa ni sababu za kisiasa naamini mashee watawasamehe kina babu ali .lakini kuwaachia mitaani na kuwaonya hili na lile ,hio sio jambo jema, kisaikolojiya unawaathiri.
*$$$$Wewe ulikuwa umefungwa? Unajua kadhia ya kukaa rumande au kufungwa? Unajua kabla ya kuachiwa wamekubaliana nini? Cha msingi wameachiwa. Haya mambo ya kila kitu kutaka msindi, haitakaa kutokea raia kuishinda serikali.
Tunataka sote tuishi kwa amani. Haki anagawa Mwenyezi Mungu.
Unakumbuka enzi zile zilizoshamiri za kuchomwa kwa makanisa?. Kumwagiwa tindikali mapadree na wachungaji?. Kuuawa kwa watu wenye imani tofauti na ya hao?. Enzi za mihadhara ya kichochezi? Lakini baada ya hao kukamatwa na kuwekwa ndani kulitulia mpaka leo hii. Labda tu zianze tena hizo vuguvugu baada ya hao kutolewa.Kuchoma makanisa ,umeona !!! ,sasa hapo ndio nikasema ni lazima wasafishwe ,imani za watu tunaziona kina mazinge majuzi wamefanya Mhadhara nafikiri ukweli umeuona.
Kama hilo lina ukweli leo hii wangekuwa weshahukumiwa,watafuteni wanaochoma makanisa ila sio WaZanzibari ,watu wenye uelewa wa dini yao.
Ulikuwa unataka wagome kama alivogoma Mchungaji Pitter Msigwa, baada ya kulipiwa faini na MWENDAZAKE?Sasa mbona walikubali kuachiwa? si wangebaki ndani mpk haki itendeke?