Hatukuuzii Bando, tunafanya line yako iweze kununua vifurushi kwa bei nafuu.

astalavista

JF-Expert Member
Joined
Jul 7, 2014
Posts
261
Reaction score
304
Asikuambie mtu kitu, kununua vifurushi vya elfu 1 upate Mb490 au elfu 10 upate Gb 4 ni kama imepitwa na wakati hivi.

Kumbe kwa kuiwezesha line ya Vodacom kuwa na access ya SME bando maisha yanakuwa rahisi mnoo. Imagine kwa hiyo elfu Moja unaweza kupata gb 1 ukinunua kifurushi cha elfu 30 ili upate gb 30.

Kizuri ni huduma ni buree, hakuna hata mia yako utaombwa. Kizuri zaidi ni mteja ikiwezeshwa line yake atajiunga yeye mwenyewe pasipo kutuma pesa popote.

Nipigie sasa hivi nikufanyie kazi.

0795790411
1000028777.jpg
 
0795790411View attachment 3534260
Naomba msaada wa kifaa cha kukata laini yangu iwe MICRO
 
Tanzania ngumu sana hii nchi, si zaidi ya mara moja Vodacom wamekuwa wakinitumia sms kuhusu mambo kama haya kuwa nijiepushe nayo!, Mh! kwenye hili wacha niwaamini voda tu...😅
 
Sawa mkuu, kuamini ni kuona. Kwasasa naheshimu mawazo yako. Japo kama upo Dar ningetamani nikufuate nikupatie huduma, naamini utakuwa balozi wangu kinara humu jukwaani.
 
Hakuna namna mteja anaweza kujiunga pasipo kuiwezesha line yake ipate sifa za kujiunga na hivyo vifurushi. Ni sahihi kusema wangeacha wazi watu wajiunge, hii ni kama unlimited bando ambazo si Kila mmoja anaweza kujiunga, ni hadi asajiliwe
Si umesema ni bure na hakuna gharama zingine zozote za huduma? Kwa nini usingeweka wazi namna ya kujiunga tu humuhumu jukwaani badala ya kutupa kazi ya kukupigia simu
 
Watu wapo karibu kutapeliwa.
Kuweni makini
How, natamani kujua anatapeliwa vipi ikiwa hakuna pesa anaombwa? Ni huduma ya bure, mteja atapokea msg ya kukamilika huduma yake kutoka Vodacom. Baada ya hapo ni hiyari yako ufanyie malipo au uache.
 
Zinapatina pia huduma za router, tunafunga Faiba kuanzia shilingi elfu 60 tu. Tunaweza kukutembelea au wewe Mteja wetu wa thamani kuja Ofisini kwetu Sinza Madukani jengo la Emirates 3rd floor, karibu kabisa na duka la nguo la Vunja bei.

Hii huduma ni kwa dsm pekee?
 
Back
Top Bottom