Hatukuuzii Bando, tunafanya line yako iweze kununua vifurushi kwa bei nafuu.

Hatukuuzii Bando, tunafanya line yako iweze kununua vifurushi kwa bei nafuu.

Hiyo fiber ha 60,000 ni ya mtandao gani mkuu? Na hiyo 60,000 ni gharama ya internet kwa mwezi au ni kifaa pekee?
Ni Vodacom boss wangu, Elfu 60 ni malipo ya kifurushi kwa mwezi. Kufungiwa ni buree.
 
umeongea point mkuu
Kukuunga lazima yeye akuweke kwenye system kama wakala wa hiyo huduma kwa kutumia taarifa zako muhimu. Hiyo ni huduma maalumu kwa watu maalumu kama wafanya biashara,maofisa wa makampuni na kadhalika ndio maana ikaitwa SME (Small and Medium Enterprises).

Ni kama mkopo wa benki,hauwezi jiunga mwenyewe lazima ukutane na ofisa wa benki au wakala wao akufanyie processing ndipo upate access ya kupewa mkopo na bank husika,huwezi kujievaluate mwenyewe.

Kuna vitu vingi jamaa anakujazia hapo ukisema uende mwenyewe Vodacom hawatakupa access.

Ni sawa na utake line ya chuo na sio mwanachuo unahisi utaweza pata access bila msaada?

umeongea point mkuu
 
Kusikia Kwa Kenge Mpaka Atoke Damu Puani Na Masikioni
 
Leo jumatano team ya M2M itakuwa maeneo ya Sinza, Shekilango, Mawasiliano na Tandale kwajili ya kukuhudumia ili ujipatie vifurushi vizuri kwa gharama ndogo mnoo.

Tupigie tukuletee huduma sehemu ulipo, 0795790411
1000028777.jpg
 
Back
Top Bottom