Zemanda
JF-Expert Member
- Jan 10, 2021
- 10,999
- 23,540
Ni kweli. Huduma ipo tigo, Airtel na Vodacom pia.
Ni kweli. Huduma ipo tigo, Airtel na Vodacom pia.
Hadanganyi ni kweli. Mimi natumia hiyo huduma.Tanzania ngumu sana hii nchi, si zaidi ya mara moja Vodacom wamekuwa wakinitumia sms kuhusu mambo kama haya kuwa nijiepushe nayo!, Mh! kwenye hili wacha niwaamini voda tu...😅
Kukuunga lazima yeye akuweke kwenye system kama wakala wa hiyo huduma kwa kutumia taarifa zako muhimu. Hiyo ni huduma maalumu kwa watu maalumu kama wafanya biashara,maofisa wa makampuni na kadhalika ndio maana ikaitwa SME (Small and Medium Enterprises).Si umesema ni bure na hakuna gharama zingine zozote za huduma? Kwa nini usingeweka wazi namna ya kujiunga tu humuhumu jukwaani badala ya kutupa kazi ya kukupigia simu?
Hii huduma ndio natumia hapa japo sijaungwa na huyu mdauAsikuambie mtu kitu, kununua vifurushi vya elfu 1 upate Mb490 au elfu 10 upate Gb 4 ni kama imepitwa na wakati hivi.
Kumbe kwa kuiwezesha line ya Vodacom kuwa na access ya SME bando maisha yanakuwa rahisi mnoo. Imagine kwa hiyo elfu Moja unaweza kupata gb 1 ukinunua kifurushi cha elfu 30 ili upate gb 30.
Kizuri ni huduma ni buree, hakuna hata mia yako utaombwa. Kizuri zaidi ni mteja ikiwezeshwa line yake atajiunga yeye mwenyewe pasipo kutuma pesa popote.
Nipigie sasa hivi nikufanyie kazi.
0795790411View attachment 3534260
Endelea kuenjoy mkuu, unaweza ukatumia huduma ya kufungiwa Faiba pia kwenye eneo lako la kazi au biashara kwa elfu 60 tu. Na huduma hii haina kikomo cha idadi ya watu kwenye matumizi.Hii huduma ndio natumia hapa japo sijaungwa na huyu mdau
Ahsante sana Mkuu kwa maelezo ya kina, Mungu akubariki.Kukuunga lazima yeye akuweke kwenye system kama wakala wa hiyo huduma kwa kutumia taarifa zako muhimu. Hiyo ni huduma maalumu kwa watu maalumu kama wafanya biashara,maofisa wa makampuni na kadhalika ndio maana ikaitwa SME (Small and Medium Enterprises).
Ni kama mkopo wa benki,hauwezi jiunga mwenyewe lazima ukutane na ofisa wa benki au wakala wao akufanyie processing ndipo upate access ya kupewa mkopo na bank husika,huwezi kujievaluate mwenyewe.
Kuna vitu vingi jamaa anakujazia hapo ukisema uende mwenyewe Vodacom hawatakupa access.
Ni sawa na utake line ya chuo na sio mwanachuo unahisi utaweza pata access bila msaada?
Hongera sana.Mimi laini yangu nanunua GB10 per month kwa 10k tu.
😃😃😃😃😃Tanzania ngumu sana hii nchi, si zaidi ya mara moja Vodacom wamekuwa wakinitumia sms kuhusu mambo kama haya kuwa nijiepushe nayo!, Mh! kwenye hili wacha niwaamini voda tu...😅
Mara zote kunakuwa na section ya watu katika jamii ambao wanaweza kuvumilia kupigwa kirahisi. Hao ndio wanalengwa kwa kutengeneza majina kama SME na maneno ya kuvutia ya vifurushi.Hivi SME ni nini?
Na hivi hizi huduma haziwezekani kuwa normal tu?
Mkuu Nanren, ni kwa namna gani inatafsirika mtu anayetumia SME anapigwa akiwa anapata gb 30 kwa elfu 30 wastani wa kila gb 1 shilingi elfu 1. Ikiwa mteja wa kawaida ananunua gb 1 kwa 2100.Mara zote kunakuwa na section ya watu katika jamii ambao wanaweza kuvumilia kupigwa kirahisi. Hao ndio wanalengwa kwa kutengeneza majina kama SME na maneno ya kuvutia ya vifurushi.
Ni kama baadhi ya mabasi kuchaji bei huduma za VIP na zingine za kawaida
Ndo maana nimesema natoa huduma ya kuwezesha line yako bureee pasipo malipo hata shilingi mia. Achana na hao mawingaTatizo ni pale ambapo huduma hizo zinaunganishwa kwa malipo wakati bando utalipia pia. It doesn't make sense. Voda wameweka vijana kama mawinga wanakudai hadi 10000 kukuunga kifurushi cha 10000 gb 10. Gharama inarudi pale pale
Hiyo fiber ha 60,000 ni ya mtandao gani mkuu? Na hiyo 60,000 ni gharama ya internet kwa mwezi au ni kifaa pekee?Zinapatina pia huduma za router, tunafunga Faiba kuanzia shilingi elfu 60 tu. Tunaweza kukutembelea au wewe Mteja wetu wa thamani kuja Ofisini kwetu Sinza Madukani jengo la Emirates 3rd floor, karibu kabisa na duka la nguo la Vunja bei.
0795790411
Kigamboni kisiwani mnapita?TEAM YA KUFUNGA VODACOM FAIBA LEO ITAKUWEPO KIGAMBONI.
Jumatatu ya Faiba kutoka Vodacom, ni kuanzia elfu 60 tu unafungiwa faiba kwenye eneo lako la biashara au makazi.