astalavista
JF-Expert Member
- Jul 7, 2014
- 261
- 304
Naomba msaada wa kifaa cha kukata laini yangu iwe MICROAsikuambie mtu kitu, kununua vifurushi vya elfu 1 upate Mb490 au elfu 10 upate Gb 4 ni kama imepitwa na wakati hivi.
Kumbe kwa kuiwezesha line ya Vodacom kuwa na access ya SME bando maisha yanakuwa rahisi mnoo. Imagine kwa hiyo elfu Moja unaweza kupata gb 1 ukinunua kifurushi cha elfu 30 ili upate gb 30.
Kizuri ni huduma ni buree, hakuna hata mia yako utaombwa. Kizuri zaidi ni mteja ikiwezeshwa line yake atajiunga yeye mwenyewe pasipo kutuma pesa popote.
Nipigie sasa hivi nikufanyie kazi.
0795790411View attachment 3534260
Huduma hizi zinapatina pale tu unapoiwezesha line yako kupata hivyo vifurushi. Unaweza pia ukatembelea Vodashop iliyo karibu yako.Hivi SME ni nini?
Na hivi hizi huduma haziwezekani kuwa normal tu?
Sawa mkuu, kuamini ni kuona. Kwasasa naheshimu mawazo yako. Japo kama upo Dar ningetamani nikufuate nikupatie huduma, naamini utakuwa balozi wangu kinara humu jukwaani.Tanzania ngumu sana hii nchi, si zaidi ya mara moja Vodacom wamekuwa wakinitumia sms kuhusu mambo kama haya kuwa nijiepushe nayo!, Mh! kwenye hili wacha niwaamini voda tu...😅
Unapatikana wapi mkuu?Naomba msaada wa kifaa cha kukata laini yangu iwe MICRO
Hata mimi nashangaa kwanini wasiziachie tu ili wapige hela? Kuna something behindHivi SME ni nini?
Na hivi hizi huduma haziwezekani kuwa normal tu?
Amekwepa suggestion yakoSi umesema ni bure na hakuna gharama zingine zozote za huduma? Kwa nini usingeweka wazi namna ya kujiunga tu humuhumu jukwaani badala ya kutupa kazi ya kukupigia simu?
Si umesema ni bure na hakuna gharama zingine zozote za huduma? Kwa nini usingeweka wazi namna ya kujiunga tu humuhumu jukwaani badala ya kutupa kazi ya kukupigia simu
How, natamani kujua anatapeliwa vipi ikiwa hakuna pesa anaombwa? Ni huduma ya bure, mteja atapokea msg ya kukamilika huduma yake kutoka Vodacom. Baada ya hapo ni hiyari yako ufanyie malipo au uache.Watu wapo karibu kutapeliwa.
Kuweni makini
Sikuona huu ujumbe, nimemjibu hapo juu.Amekwepa suggestion yako
Sikuona huu ujumbe, nimemjibu hapo juu.Amekwepa suggestion yako
Ni Vodacom pekee mkuu wangu.Kwa line za airtel vipi?
Hii huduma ni kwa dsm pekee?Zinapatina pia huduma za router, tunafunga Faiba kuanzia shilingi elfu 60 tu. Tunaweza kukutembelea au wewe Mteja wetu wa thamani kuja Ofisini kwetu Sinza Madukani jengo la Emirates 3rd floor, karibu kabisa na duka la nguo la Vunja bei.
0795790411