astalavista
JF-Expert Member
- Jul 7, 2014
- 261
- 304
- Thread starter
-
- #41
Ni Vodacom boss wangu, Elfu 60 ni malipo ya kifurushi kwa mwezi. Kufungiwa ni buree.Hiyo fiber ha 60,000 ni ya mtandao gani mkuu? Na hiyo 60,000 ni gharama ya internet kwa mwezi au ni kifaa pekee?
Ni KibadaKigamboni kisiwani mnapita?
umeongea point mkuuSi umesema ni bure na hakuna gharama zingine zozote za huduma? Kwa nini usingeweka wazi namna ya kujiunga tu humuhumu jukwaani badala ya kutupa kazi ya kukupigia simu?
umeongea point mkuu
Kukuunga lazima yeye akuweke kwenye system kama wakala wa hiyo huduma kwa kutumia taarifa zako muhimu. Hiyo ni huduma maalumu kwa watu maalumu kama wafanya biashara,maofisa wa makampuni na kadhalika ndio maana ikaitwa SME (Small and Medium Enterprises).
Ni kama mkopo wa benki,hauwezi jiunga mwenyewe lazima ukutane na ofisa wa benki au wakala wao akufanyie processing ndipo upate access ya kupewa mkopo na bank husika,huwezi kujievaluate mwenyewe.
Kuna vitu vingi jamaa anakujazia hapo ukisema uende mwenyewe Vodacom hawatakupa access.
Ni sawa na utake line ya chuo na sio mwanachuo unahisi utaweza pata access bila msaada?
umeongea point mkuu
So mtakuwa kibada tu mkuu?Ni Kibada
Kisiwani Faiba bado huko boss wanguSo mtakuwa kibada tu mkuu?
Una maanisha nini?Kusikia Kwa Kenge Mpaka Atoke Damu Puani Na Masikioni
Hadi lini boss?Kisiwani Faiba bado huko boss wangu