kalacha mateo
Senior Member
- Sep 27, 2021
- 122
- 241
Yaani Maji Ya Nyumba 10 Ndiyo Povu Eti MradiRubbish, huu nao ni mradi wa kutuletea hapa?
Hawana miradi tena zaidi ya sanaaYaani Maji Ya Nyumba 10 Ndiyo Povu Eti Mradi
Watanzania Siyo Wajinga
Maji ni kitu muhimu sana mzee na ndio maana Rais Samia Suluhu ameipa kipaumbele na sasa asilimia kubwa ya vijiji maji safi na salama yanapatikana na miundombinu imeboreshwa pia fatilia miradi mbalimbali inayotekelezwa na Rais Samia Suluhu utagundua Mama haachi gepu mpaka vijijiniWatanzania asilimia zaid ya 80 wanaishi vijijini pia wale wakijengewaga vimiladi midogo midogo basi wanaitukuza ccm vibaya mno, watu wa vijijin hawanaga mahitaji makubwa sana ya kimiundombinu na hawa ndio wanaologwa sana na wanasiasa, wakijengewa matundu ya vyoo mawili basi serikali ya ccm inatukuzwa vibaya
Nilikuwa najiuliza kwann waasi wanapopindua nchi huwa wanaua watu wasio na hatia wala silaha na kuchoma vijiji vyao.
Ila the way nimestudy jamii ya mtanzania nimegundua kuwa hawa wenzetu wa maeneo ya vijijini ndio wanaongoza kwa kuwasapoti serikali inayokuwa kandamizi na wanakubali kutumika kuiweka madarakani. So waasi huwa wanakuwa na hasira nao na kuwatokomeza kama masalia ya serikali dhalimu.
Now ndio naelewa kwann inakuwa vile.
uko mnapasikia ni kule kunapooneshwa kwenye media, kuna vijiji vinapitia hali ngumu sanaMaji ni kitu muhimu sana mzee na ndio maana Rais Samia Suluhu ameipa kipaumbele na sasa asilimia kubwa ya vijiji maji safi na salama yanapatikana na miundombinu imeboreshwa pia fatilia miradi mbalimbali inayotekelezwa na Rais Samia Suluhu utagundua Mama haachi gepu mpaka vijijini