Mie nachokaga na wapiiga ramli kama we. Yaan we unajidai unajua zaidi kuliko yy aliyeko kwenye field???Mawazo yangu. Ligi kuu uingereza siyo ligi ya Belgium. Hamna team yakutoa 10m kwa mchezaji wa 25yrs kutoka ligi ya kawaida. He is a winner in a country of less than 3 professionals. Baki Genk piga uefa magoli kama ukiweza watakuona kina Aston Villa. Everton na Leicester ni team kubwa sana goal zao ni Europa.
Lukaku kaweza ashindwe samatta
Samatta hayupo.JF halafu ana washauri wengi kuliko.wewe ambaye hata kwenye familia.yako huruhusiwi kutoa maoni so ushauri wako.utaishia hapahapa na utapuuzwa
wivu ni mbaya sana especially kwa mtu ambaye kakuzidi kuliko kawida hata thamani ya kiatu anachokivaa ndo bajeti yako ya mwakaLukaku unamwona kibonde? Angalia stats zake. Kacheza ubelgiji msimu mmoja mechi 53 na magoli 29. Average 1.8.
Sammagoal wetu [emoji16] msimu 2015-16 (match 16 magoli 4). 2016-17 (match 35 goal 12) 2017-18 (match 30 goal 7) 2018-19 (match 38 goal 23). Tuseme msimu uliopita ndo ulikuwa msimu mzuri kwake. Lukaku premier league ana goal 113. Acha kufananisha lukaku wa 80m na huyo jamaa wa 10m. Wote wana 26yrs ila mbingu na nchi
Lukaku kwa sasa ni gharasa nani atoe iyo 80mil pound? Nyie ndio mliingizwa king na Everton mkalipa ayo mamilioni lakini kwa sasa hauziki uyo kaisha flop.Lukaku unamwona kibonde? Angalia stats zake. Kacheza ubelgiji msimu mmoja mechi 53 na magoli 29. Average 1.8.
Sammagoal wetu [emoji16] msimu 2015-16 (match 16 magoli 4). 2016-17 (match 35 goal 12) 2017-18 (match 30 goal 7) 2018-19 (match 38 goal 23). Tuseme msimu uliopita ndo ulikuwa msimu mzuri kwake. Lukaku premier league ana goal 113. Acha kufananisha lukaku wa 80m na huyo jamaa wa 10m. Wote wana 26yrs ila mbingu na nchi
........huu uchawi sasa 3 proffezssionals?Mawazo yangu. Ligi kuu uingereza siyo ligi ya Belgium. Hamna team yakutoa 10m kwa mchezaji wa 25yrs kutoka ligi ya kawaida. He is a winner in a country of less than 3 professionals. Baki Genk piga uefa magoli kama ukiweza watakuona kina Aston Villa. Everton na Leicester ni team kubwa sana goal zao ni Europa.
Mawazo yangu. Ligi kuu uingereza siyo ligi ya Belgium. Hamna team yakutoa 10m kwa mchezaji wa 25yrs kutoka ligi ya kawaida. He is a winner in a country of less than 3 professionals. Baki Genk piga uefa magoli kama ukiweza watakuona kina Aston Villa. Everton na Leicester ni team kubwa sana goal zao ni Europa.
Nakubaliana na wewe akiwa Genk Beki huwa wanapata tabu sana.Akiwa Huku kwetu yanamkutaga ya Messi na ArgentinaSamatta ana uwezo wa kucheza katika club yoyote duniani kama akipata teammates wazuri.
Mbona Victor Wanyama ameweza?