Hatuna nia mbaya: Sammata baki Genk. Uingereza ngumu sana kwako. Uturuki kule kuna madogo wa west Africa kibao alaf under 19

Luton4554

Member
Joined
Apr 25, 2019
Posts
67
Reaction score
99
Mawazo yangu. Ligi kuu uingereza siyo ligi ya Belgium. Hamna team yakutoa 10m kwa mchezaji wa 25yrs kutoka ligi ya kawaida. He is a winner in a country of less than 3 professionals. Baki Genk piga uefa magoli kama ukiweza watakuona kina Aston Villa. Everton na Leicester ni team kubwa sana goal zao ni Europa.
 
Mie nachokaga na wapiiga ramli kama we. Yaan we unajidai unajua zaidi kuliko yy aliyeko kwenye field???
Mitandaoni Kuna mambo
 
Lukaku kaweza ashindwe samatta

Lukaku unamwona kibonde? Angalia stats zake. Kacheza ubelgiji msimu mmoja mechi 53 na magoli 29. Average 1.8.
Sammagoal wetu [emoji16] msimu 2015-16 (match 16 magoli 4). 2016-17 (match 35 goal 12) 2017-18 (match 30 goal 7) 2018-19 (match 38 goal 23). Tuseme msimu uliopita ndo ulikuwa msimu mzuri kwake. Lukaku premier league ana goal 113. Acha kufananisha lukaku wa 80m na huyo jamaa wa 10m. Wote wana 26yrs ila mbingu na nchi
 
Samatta hayupo.JF halafu ana washauri wengi kuliko.wewe ambaye hata kwenye familia.yako huruhusiwi kutoa maoni so ushauri wako.utaishia hapahapa na utapuuzwa

Ila kwenye kikao cha familia yenu ntaruhusiwa tuu. Kwetu siyo kwenu
 
Lukaku unamwona kibonde? Angalia stats zake. Kacheza ubelgiji msimu mmoja mechi 53 na magoli 29. Average 1.8.
Sammagoal wetu [emoji16] msimu 2015-16 (match 16 magoli 4). 2016-17 (match 35 goal 12) 2017-18 (match 30 goal 7) 2018-19 (match 38 goal 23). Tuseme msimu uliopita ndo ulikuwa msimu mzuri kwake. Lukaku premier league ana goal 113. Acha kufananisha lukaku wa 80m na huyo jamaa wa 10m. Wote wana 26yrs ila mbingu na nchi
wivu ni mbaya sana especially kwa mtu ambaye kakuzidi kuliko kawida hata thamani ya kiatu anachokivaa ndo bajeti yako ya mwaka
 
Lukaku unamwona kibonde? Angalia stats zake. Kacheza ubelgiji msimu mmoja mechi 53 na magoli 29. Average 1.8.
Sammagoal wetu [emoji16] msimu 2015-16 (match 16 magoli 4). 2016-17 (match 35 goal 12) 2017-18 (match 30 goal 7) 2018-19 (match 38 goal 23). Tuseme msimu uliopita ndo ulikuwa msimu mzuri kwake. Lukaku premier league ana goal 113. Acha kufananisha lukaku wa 80m na huyo jamaa wa 10m. Wote wana 26yrs ila mbingu na nchi
Lukaku kwa sasa ni gharasa nani atoe iyo 80mil pound? Nyie ndio mliingizwa king na Everton mkalipa ayo mamilioni lakini kwa sasa hauziki uyo kaisha flop.

Mbingu na nchi kiaje? Samatta msimu huu anashiriki EUFA aya niambie uyo lukaku wako anashiriki nini
 
Mawazo yangu. Ligi kuu uingereza siyo ligi ya Belgium. Hamna team yakutoa 10m kwa mchezaji wa 25yrs kutoka ligi ya kawaida. He is a winner in a country of less than 3 professionals. Baki Genk piga uefa magoli kama ukiweza watakuona kina Aston Villa. Everton na Leicester ni team kubwa sana goal zao ni Europa.
........huu uchawi sasa 3 proffezssionals?
 
Mawazo yangu. Ligi kuu uingereza siyo ligi ya Belgium. Hamna team yakutoa 10m kwa mchezaji wa 25yrs kutoka ligi ya kawaida. He is a winner in a country of less than 3 professionals. Baki Genk piga uefa magoli kama ukiweza watakuona kina Aston Villa. Everton na Leicester ni team kubwa sana goal zao ni Europa.

Ishu ni profile tu hata akienda pakimshinda ila itasomeka ashacheza profile
 
Wanaocheza EPL sio wote wana uwezo mkubwa au wa juu sana.
ndio maana hata ikitoka timu ya dunia Epl inatoa player 1/2 ligi nzima...
Kuna player wako pale epl hata kufikisha goal 5 kwa season ni ngumu kwao na wapo wanakinukisha tu,
Mhusika akiamua maana yake anajiamini na pengine akafanya uache kupiga ramli tena

Woga wako ndio umasikini wako-- Rose Mhando
 
Samatta ana uwezo wa kucheza katika club yoyote duniani kama akipata teammates wazuri.

Mbona Victor Wanyama ameweza?
Nakubaliana na wewe akiwa Genk Beki huwa wanapata tabu sana.Akiwa Huku kwetu yanamkutaga ya Messi na Argentina
 
Back
Top Bottom