Genius Man
JF-Expert Member
- Apr 7, 2024
- 3,558
- 7,935
Hatusemi rais ndio anateka na kuuwa lakini wanao uwawa na kutekwa na kusekwa gerezani ni wapinzani wake pekee.
Nyongeza watu walio fanyiwa uhalifu ambao ni viongozi wa dini, watu walio fungiwa makanisa na kuvunjiwa makanisa ni wapinzani wa rais samia pekee.
Kwahiyo lazima tujiulize kwanini ni wapinzani wa samia tu ndio wanao fanyiwa haya?
Kwani rais samia anaweza kuteka ?