Hatusemi rais ndio anateka na kuuwa lakini wanao uwawa na kutekwa na kusekwa gerezani ni wapinzani wake pekee

Genius Man

JF-Expert Member
Joined
Apr 7, 2024
Posts
3,558
Reaction score
7,935
Hatusemi rais ndio anateka na kuuwa lakini wanao uwawa na kutekwa na kusekwa gerezani ni wapinzani wake pekee.

Nyongeza watu walio fanyiwa uhalifu ambao ni viongozi wa dini, watu walio fungiwa makanisa na kuvunjiwa makanisa ni wapinzani wa rais samia pekee.

Kwahiyo lazima tujiulize kwanini ni wapinzani wa samia tu ndio wanao fanyiwa haya?

Kwani rais samia anaweza kuteka ?
 
Kwa mantiki hiyo, ndiyo tunarudi pale pale Sasa kwamba kama sir99+1 hahusiki na utekaji, kwanini

wanao uawa na kutekwa na kuswekwa gerezani ni wapinzani wake pekee?​

 
Yeye ndiye anawatuma na kuwalipa watekaji,kifupi ndiye mhusika mkuu ndiyo maana anakejelei anasema kifo ni kifo tu.
 
Na kitu Cha kushangaza zaidi anayasikia na anakili anapata muda wa kuchungulia mitandaoni, na kelele zote anazisikia ila yeye kama amili jeshi mkuu anasema kifo Cha raia mmoja tu kelele nyingi maana yake yeye kufa raia wake haoni shida labda wafe wote milioni 60 kwa mara moja, kwanini wanaoenenda kinyume na yeye ndio wanapata shida sana..maana yake hawezi kabisa kustahimili siasa za hapa nchini. Nitashangaa baada ya octoba jeshi lianze kumlinda mtu dhaifu atakayekiuka katiba ya chama Chao kwa makusudi na jeuri
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…