Hatutaki Tabia hizi za wanaJF mibaba!

Si bora wewe umetongozwa na wababa/kaka wa JF wenye hadhi zao, mwenzio mmoja katongozwa ha houseboy wake
 
Clearing mambo?
Without you my days are "Sadday,"Moanday, "Tearsday, "Wasteday, "Thirstday, "Fightday", and "Shatterday"(ngoja na mimi nikutongoze ila hala hala usije ukanianzishia thread)
 
huyu hakumpenda ndo maana anataka kumchana live humu ingekuwa kinyuma ungesikia uko wapi n pm KIBAO acha utoto

nimesoma hii thread nikachoka kabisa, hawa ndio wale wanatongozwa maoficn/kanisani/sokoni wanaenda kuwaelezea wapenzi wao, hii kitu haikustahili kuwa hapa kabisa, hao wanaume wanawa enjoy tu wakipata sawa wakikosa saa pia, so mcdhani huo usumbufu ni wa kimapenzi, ni full matamanio tu na ictoshe amekupa live ana mke sasa wewe unatakaje? mu ignore kikubwa tu....haa mitandao ina mambo kweli.
 
Without you my days are "Sadday,"Moanday, "Tearsday,
"Wasteday, "Thirstday, "Fightday", and "Shatterday"(ngoja na mimi nikutongoze ila hala hala usije ukanianzishia thread)
Hahaha halafu wewe ngoja tu..
Cku nikukamataa!
 

swity....huo ni usumbufu wa kawaida kabisa kwa wanaume wote, hapo anaendelea kujaribi mpaka apate atakacho, ukimu ignore hata rudia tena, we muache a2me weee coz c umeshajua hana jipya? bac unazi delete tu, kumbe warembo humu mnapitia mengi eeh haya poleni lakini ishu ya mwanaume hakunaga cha JF wala mgalatia na mpetekoste kwenye swala la kuvua gagulo.....
 

Nilikutafuta sana jana sijakuona. Mapoint yote umeongea
 



umeona eeeeeee
 
Maty wewe inabidi nikulete njoro nikuogeshe na maji ya chemchem may b nyota yako itawaka...lol...kuanzia utangaze tender ya marioo mpaka leo holaaa, wenzio ndio kama haw ampaka wanakinahiwa.....
 
Nilikutafuta sana jana sijakuona. Mapoint yote umeongea

dearest nilikuwa busy sana jana, ndio nili report kwenye kutafuta ugali....sasa hizi pm naona zinaleta shida kabisa warembo wanashindwa kutofautisha kati ya kutamaniwa/kupendwa/kutongozwa, hao waume za watu wanawatamani tu kimbizaneni na hao wakina Finest ndio wanatongoza.
 

Ha ha ha ha ha lol!!!:amen::amen: Nilikuwa sijacheka tokea asubuhi
 

Kabisa ila kifinest chenyewe kibahili hicho sijui nani atakikubali
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…