Hatutaki Tabia hizi za wanaJF mibaba!

Hatutaki Tabia hizi za wanaJF mibaba!

Kabisa ila kifinest chenyewe kibahili hicho sijui nani atakikubali

dearest....una believe kwenye hiyo kitu? hakunaga mwanaume mbahili, acpokupa wewe jua kuna kwingine anatoa kama ifuatavyo......
 
Bwana mie nilikaa nako kakataaa kulipa bill halafu hakakunitongoza bana. Ningeanzisha thread. Serengeti Boy wa JF kanitongoza aha ha ha ha
 
Nyamayao nilikuwa mbahili kwake huyo anataka kunipeleka kwenye saloon za laki mbili kwa siku nani akubali
 
Me like this

1. Sikukutongoza
2. Sikulipa bili

:welcome:
 
Nyamayao nilikuwa mbahili kwake huyo anataka kunipeleka kwenye saloon za laki mbili kwa siku nani akubali

kijana chukua watu wa uwezo wako...khaaa, umezoea wale wanasokotwa rasta pale buguruni na wamasai?
 
Yeye sijui alijua mimi namiliki vituo vya BP kwahiyo hela zinatoka kama petroli au diseli
 
Back
Top Bottom