Desidii
JF-Expert Member
- Oct 2, 2007
- 1,201
- 86
Kwahiyo - Tutongozane au la?
Kama kawa bana hakuna BAN
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kwahiyo - Tutongozane au la?
wanajf tuna mawazo mazuri sana ya kukutana na kufahamiana, ila kinachosikitisha ni kwamba ndani ya mikutano hii majibaba mengine inatumia kutufataki! Inatongoza kila mdada!! Tuwafanyaje hawa? Tuanzishe wikleaks kwa ajili yao?
kwani wakiwatongoza tatizo nini,,si huyo anayetongozwa ndo atumie kichwa chake mwenyewe,,,,,kwani we unajua labda alifata kutongozwa je?
Hahahahaaa!! hii nimeipenda.

Tatizo letu wa bongo wengi hufanya kinyume. Mahali penye choo palipoandikwa na kuandaliwa kwa kujisaidia huwa tunapaacha tunaenda kujisaidia mahali pameandikwa "USIKOJOE HAPA"

Au kwenye mapipa ya taka huwa hatutupi taka tunaenda mahali pameandikwa "USITUPE TAKA HAPA"

So usishangae ujumbe huu ndo ukavutia zaidi mijibaba hiyo!
basi aandike kinyume chake kwa kuwa wabongo wanapenda vais vesa
WanaJF tuna mawazo mazuri sana ya kukutana na kufahamiana, ila kinachosikitisha ni kwamba ndani ya mikutano hii majibaba mengine inatumia kutufataki! Inatongoza kila mdada!! Tuwafanyaje hawa? tuanzishe wikleaks kwa ajili yao?
ww ach kutuchanganya, ww mwanamke usitomgozwe kilema au? i mean huna uchi au? au Dume jike, mbona sioni hoja hapa,
aaaahhaaaaa imekuelewa nahisi hamjakubaliana bei mmekutana bar ukachomoa then unaleta hapa, au ww si mrembo, their is something
kutongozwa jambo la kawaida sana.

Ungewakubali Ungebandika tangazo la tongozo hapa??
Darling nikutongoze?
Endelea...:welcome:
unapenda kwa pm au hadharani?? ila huo n'gongo....
Tatizo kuna mtu ananivizia hapa.....
Mimi ni Men na mimi hiyo nilisha note ikanikera sana kwani great thinker anatakiwa awe na staha na busara. Pia unakuta kwenye vikao vya JF watu wanabugia kilevi mpaka wanajikuta wanaongea na kuleta matani ya upuuzi. Mawazo tunayotoa na jinsi tunavyo behave haviendani kabisa. Sio wote bali ni baadhi. Hivi tatizo ni nini haswa Wana JF? Inabidi tudhamirie kuwa chumvi au chachu kwa maendeleo ya nchi yetu siyo tu kwa kuandika kwenye JF bali katika maneno na matendo otherwise tutakuwa tunaigiza tu na hatutakuwa na tofauti yoyote na watawala tunaowapa changamoto.
hahaha nakuona hommie hapo juu....na "Come this way" theory