Hatutaki Tabia hizi za wanaJF mibaba!

Hatutaki Tabia hizi za wanaJF mibaba!

Wewe huwezi panga wapi mtu aseme jambo lake na ndo maana unaona thread nyingine ni vitu personal tena vya kumuhusu mtu mmoja but mtu anaitengenezea thread,ni hii ishu amabyo wengi wamekutana nayo????
Kama unasema simtaki ni-delete mgs zake,we unaona ubaya gani nikazidelete na nikasema kuwa sipendi hiyo tabia,kwa kuwa hayuko mmoja hapa,mwenye thread amesema mibaba,wako zaidi ya mmoja,mtu hawezi kaa anajibu PM muda wote.
Uhuru wa kusema upo,hamna mtu katajwa jina,na wala sheria za JF hazijavunjwa!!!!

Yeeeees!!!!! Tell them ma dia!
 
jamani kutongoza si kosa,ila kinacholalamikiwa na bidada hapa ni mibaba mijitu mizima kabisa kumtongoza kibinti kidogo.
na inaonyesha amekataliwa na bado anakomalia tu.

mnaponunuliwa vitz, rav4 na miprado mbona hamlalamki au huwa hamuoni kwamba ni mibaba? isijekuwa huyo jibaba mfuko wake hauko vizuri ndo maana anashambuliwa, labda aliahidi kununua rav4 lakini mambo yamekuwa tofauti,
just thinking aloud.
 
Jamani mie nina mkosi gani? Cjawahi tongozwa hata na mmoja mwe! Ni2pie mimi huyo akusumbuae angalau na mi nijione mwanamke lol
 
Ni utoto tu wakikua wataacha......
 
Lakini Mvumbuzi kama umetongozwa ni wajibu wako kukataa au kukubali
Kila sehemu wanatongoza ,makazini .mahospitalini ,makanisani,sokoni NK NK
Kwani kuitwa JF member ndo inazuia kuondoa hisia zako?

Dear FirstLady1

Hapo penye red hujanitendea haki! Baba_Enock aka Paroko hapendezwi na watumishi wa bwana kuanza kutongozana kanisani - Wanaofanya hivyo washindweeeeeeeeee kwa Jina Lipitalo Majina Yoooooooooote!

BTW: Hivi unaweza kutongoza/kutongozwa kwenye PM? Nauliza tu!!
 
Jamani mie nina mkosi gani? Cjawahi tongozwa hata na mmoja mwe! Ni2pie mimi huyo akusumbuae angalau na mi nijione mwanamke lol

Halafu wewe Matty The Great!!! Ndiyo mambo gani sasa hayo!! kha!!
 
Lakini pia u neva know hawa watu bwana labda walikuwa wanatest msimamo wako ..ukilegea ndo basi tena ....i beg i beg yoo

na hichi ndio kifanyikacho so akili ku mkichwa mdada. Ila wengine 2na mkosi mbona ha2pati psi psi jamani?
 
WanaJF tuna mawazo mazuri sana ya kukutana na kufahamiana, ila kinachosikitisha ni kwamba ndani ya mikutano hii majibaba mengine inatumia kutufataki! Inatongoza kila mdada!! Tuwafanyaje hawa? tuanzishe wikleaks kwa ajili yao?
Unamwambia wazazi hawapendi haya unayoniambia.
 
Halafu wewe Matty The Great!!! Ndiyo mambo gani sasa hayo!! kha!!

hahahahaaa baba enock huyu mwenze2 anakimbia bahati wakati mi mwenzie kuna m2 mpaka nimemwambia gest nitalipa mwenyewe kanambia tangulia cjamwona toka saa 5 asbh kwi kwi kwi mkosi gani huu
 
na hichi ndio kifanyikacho so akili ku mkichwa mdada. Ila wengine 2na mkosi mbona ha2pati psi psi jamani?
Pss pss oya sista nina mazungumzo kidogo nawe hebu njoo tupate kinywaji hapa nikueleze lol!
 
mnaponunuliwa vitz, rav4 na miprado mbona hamlalamki au huwa hamuoni kwamba ni mibaba? isijekuwa huyo jibaba mfuko wake hauko vizuri ndo maana anashambuliwa, labda aliahidi kununua rav4 lakini mambo yamekuwa tofauti,
just thinking aloud.

Tulalamike nini sasa,si watu tunaowajua wamefanya hivyo na wasio na ndoa,sasa mtu kaoa na anasema,mi wa nini????
Si kila mtu anakuwa na mtu kwasababu ya magari,thats so low!..................!!! wala wengine hatujakutana nao in person,sasa hizo Rav4 wananunulia avatar??? Just thinking aloud!!!!
 
Kamsemee kwa BABA!!!

WanaJF tuna mawazo mazuri sana ya kukutana na kufahamiana, ila kinachosikitisha ni kwamba ndani ya mikutano hii majibaba mengine inatumia kutufataki! Inatongoza kila mdada!! Tuwafanyaje hawa? tuanzishe wikleaks kwa ajili yao?
 
dear firstlady1

hapo penye red hujanitendea haki! Baba_enock aka paroko hapendezwi na watumishi wa bwana kuanza kutongozana kanisani - wanaofanya hivyo washindweeeeeeeeee kwa jina lipitalo majina yoooooooooote!

Btw: Hivi unaweza kutongoza/kutongozwa kwenye pm? Nauliza tu!!
baba enock una kesi sista gabriela ametoweka parokiani hajaonekana, mara ya mwisho alionekana akiwa na wewe
 
Back
Top Bottom