St. Paka Mweusi
JF-Expert Member
- Sep 3, 2010
- 7,956
- 5,149
Jibu la upole hupunguza wingi wa hasira. Mith........
Mke mwema hujenga nyumba yake mwenyewe......Mith
The Following User Says Thank You to LD For This Useful Post:
Paka Mweusi (Today)
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Jibu la upole hupunguza wingi wa hasira. Mith........
Wewe huwezi panga wapi mtu aseme jambo lake na ndo maana unaona thread nyingine ni vitu personal tena vya kumuhusu mtu mmoja but mtu anaitengenezea thread,ni hii ishu amabyo wengi wamekutana nayo????
Kama unasema simtaki ni-delete mgs zake,we unaona ubaya gani nikazidelete na nikasema kuwa sipendi hiyo tabia,kwa kuwa hayuko mmoja hapa,mwenye thread amesema mibaba,wako zaidi ya mmoja,mtu hawezi kaa anajibu PM muda wote.
Uhuru wa kusema upo,hamna mtu katajwa jina,na wala sheria za JF hazijavunjwa!!!!
jamani kutongoza si kosa,ila kinacholalamikiwa na bidada hapa ni mibaba mijitu mizima kabisa kumtongoza kibinti kidogo.
na inaonyesha amekataliwa na bado anakomalia tu.
mnaponunuliwa vitz, rav4 na miprado mbona hamlalamki au huwa hamuoni kwamba ni mibaba? isijekuwa huyo jibaba mfuko wake hauko vizuri ndo maana anashambuliwa, labda aliahidi kununua rav4 lakini mambo yamekuwa tofauti,
just thinking aloud.
Lakini Mvumbuzi kama umetongozwa ni wajibu wako kukataa au kukubali
Kila sehemu wanatongoza ,makazini .mahospitalini ,makanisani,sokoni NK NK
Kwani kuitwa JF member ndo inazuia kuondoa hisia zako?
Jamani mie nina mkosi gani? Cjawahi tongozwa hata na mmoja mwe! Ni2pie mimi huyo akusumbuae angalau na mi nijione mwanamke lol
Halafu wewe Matty The Great!!! Ndiyo mambo gani sasa hayo!! kha!!
Nilikwambia ubadilishe compyuta yako ya kikorea inasoma tofauti lakini hausikiimmmh ni maskio yangu au macho yangu hayasomi vzr?
Lakini pia u neva know hawa watu bwana labda walikuwa wanatest msimamo wako ..ukilegea ndo basi tena ....i beg i beg yoo
Unamwambia wazazi hawapendi haya unayoniambia.WanaJF tuna mawazo mazuri sana ya kukutana na kufahamiana, ila kinachosikitisha ni kwamba ndani ya mikutano hii majibaba mengine inatumia kutufataki! Inatongoza kila mdada!! Tuwafanyaje hawa? tuanzishe wikleaks kwa ajili yao?
Halafu wewe Matty The Great!!! Ndiyo mambo gani sasa hayo!! kha!!
Pss pss oya sista nina mazungumzo kidogo nawe hebu njoo tupate kinywaji hapa nikueleze lol!na hichi ndio kifanyikacho so akili ku mkichwa mdada. Ila wengine 2na mkosi mbona ha2pati psi psi jamani?
mnaponunuliwa vitz, rav4 na miprado mbona hamlalamki au huwa hamuoni kwamba ni mibaba? isijekuwa huyo jibaba mfuko wake hauko vizuri ndo maana anashambuliwa, labda aliahidi kununua rav4 lakini mambo yamekuwa tofauti,
just thinking aloud.
Ngoja nikachume majani hapo nje...BRB
WanaJF tuna mawazo mazuri sana ya kukutana na kufahamiana, ila kinachosikitisha ni kwamba ndani ya mikutano hii majibaba mengine inatumia kutufataki! Inatongoza kila mdada!! Tuwafanyaje hawa? tuanzishe wikleaks kwa ajili yao?
baba enock una kesi sista gabriela ametoweka parokiani hajaonekana, mara ya mwisho alionekana akiwa na wewedear firstlady1
hapo penye red hujanitendea haki! Baba_enock aka paroko hapendezwi na watumishi wa bwana kuanza kutongozana kanisani - wanaofanya hivyo washindweeeeeeeeee kwa jina lipitalo majina yoooooooooote!
Btw: Hivi unaweza kutongoza/kutongozwa kwenye pm? Nauliza tu!!
This is Too LOW. im out!