Mwita Maranya
JF-Expert Member
- Jul 1, 2008
- 10,565
- 7,984
Tulalamike nini sasa,si watu tunaowajua wamefanya hivyo na wasio na ndoa,sasa mtu kaoa na anasema,mi wa nini????
Si kila mtu anakuwa na mtu kwasababu ya magari,thats so low!..................!!! wala wengine hatujakutana nao in person,sasa hizo Rav4 wananunulia avatar??? Just thinking aloud!!!!
Unajua nilivyoiona avatar yako nikajua kwamba ndivyo ulivyo, kwahiyo nilivyokupenda kupitia avatar yako sikukosea kwakuwa naamini hiyo avatar hukuichagua kimakosa, itakuwa inashabihiana na ukweli wa sura yako. Na mimi bahati nzuri ninapendaga wanawake wa aina yako usinichukie bure, nilijikuta tu nimekupendaga. Hapa jf tunapenda kwanza avatar halafu kazi ndo inaanza, tukionana live mchezo unaisha:smile-big:
Back to the point, ni haki yake bi shosti kulalamika kama kuna mtu ana msumbua kupitia mgongo wa jf lakini ukilitazama suala hili kwa upande wa pili inabidi ujihoji kwa kina ni kwa nini shosti afikie uamuzi wa kumuanzishia sredi? huenda kuna mambo mengi watakuwa wamezungumza huko na sitaki kumlaumu huyo jibaba kwa kuwa hii ni habari ya upande mmoja tu. Na kwa siku hizi tunajua mijibaba ndio inayotoa vitz, na rav4 hapa mjini wala haina muda wa kushusha mistari, unakabidhiwa ufunguo wa rav4, then habari yake kwishney.
Na kama hujakutana nao in person, wanaanza na pm kama ulivyosema hapo awali, ukionyesha positive response ndio wanaendelea mbele, kwahiyo bi shosti usiwe na jazba huo ndio ukweli wenyewe, siku hizi rav 4 ndio kitongozeo hapa mjini!!