Hatutaki Tabia hizi za wanaJF mibaba!

Hatutaki Tabia hizi za wanaJF mibaba!

ww ach kutuchanganya, ww mwanamke usitomgozwe kilema au? i mean huna uchi au? au Dume jike, mbona sioni hoja hapa,
aaaahhaaaaa imekuelewa nahisi hamjakubaliana bei mmekutana bar ukachomoa then unaleta hapa, au ww si mrembo, their is something
kutongozwa jambo la kawaida sana.

You made my day. Thank you!

Have a great weekend
 
Inakera sana, tamaa kama fisi, yaani mijitu isone sketi. We are the family tuheshimiane kama kaka na dada.
 
mkitongozwa mnalalamika, usipotongozwa unalalamika, which is which? kwani unalazimiswa, ni maongezi tu, unasema hutaki basi,
au unasema nina wangu period, ww ni matured i hope, vp? that's nature ndio maana watu wanaoana, atajuaje kama hujaolewa au umeolewa? au mbona ukikubali mkila raha unasherehekea kwa miguno na full shangwe?
tena unaanza kusema sikujua kama JF ningempata mwanaume mzuri kama ww.
vitu vya kawaida sana hivi
 
Hivi hapa tunadiscuss nini hadiu kufika poage 22?:eyeroll1:
 
mkitongozwa mnalalamika, usipotongozwa unalalamika, which is which? kwani unalazimiswa, ni maongezi tu, unasema hutaki basi,
au unasema nina wangu period, ww ni matured i hope, vp? that's nature ndio maana watu wanaoana, atajuaje kama hujaolewa au umeolewa? au mbona ukikubali mkila raha unasherehekea kwa miguno na full shangwe?
tena unaanza kusema sikujua kama JF ningempata mwanaume mzuri kama ww.
vitu vya kawaida sana hivi

Longa Kaka! Longa Kaka!

I Wanna Love You - Akon ft. Snoop Dogg | Music Video | VEVO
 
Hivi bado mnadiscuss kaaahhhutongozana au thread imeshachakachuliwa???? Hebu tuzungumze mambo mengine bana
 
mada imewashika hii. Naona wanajitetea tetea.

hivi Husninyo, nini mbaya, kutongozwa ama kutongoza.....ni wakati gani inapokuwa ukimtongoza mtu inakuwa mbaya?

halafu, unajua kuna wanawake wasipotongozwa wanaenda kwa waganga kuwa wamekosa nini mbona hawaaangaliwi?
 
vyote vizuri kwa sababu ni njia mojawapo ya kuonesha hisia zako.
Wakati mbaya wa kutongoza ni pale unapojua kabisa unatongoza kwa sababu una shida ya 'downstairs' tu yaani huna mapenzi kutoka moyoni.

Wanaenda kwa waganga kwa sababu katika maisha yao wanafocus kuvuta attention za wanaume, inapotokea mambo yapo kinyume hujiona hawavutii.
 
Thanks umejibu kwa busara kabisa kama kawaida yako...hivi uanniruhusu nirudi dar lini? Nihurumie mwenzio!

sasa hapo kwenye kutongoza, mapenzi kutoka moyoni yanaangalia vitu gani hasa? umri? pesa? dini? kabila? ama ya moyoni yanakuwa ya moyoni bila kujali hali nyinginezo? LOL
 
u have been warned,,,mlimani panahusu sasa kwa maandalizi ya ibada na kukemea utongozaji lol!if at all ni dhambi,,mwongozo wa pope utahitajika hapo,,gnt
 
Thanks umejibu kwa busara kabisa kama kawaida yako...hivi uanniruhusu nirudi dar lini? Nihurumie mwenzio!

sasa hapo kwenye kutongoza, mapenzi kutoka moyoni yanaangalia vitu gani hasa? umri? pesa? dini? kabila? ama ya moyoni yanakuwa ya moyoni bila kujali hali nyinginezo? LOL

mapenzi ya moyoni hayaangalii chochote. Unapenda tu ukiulizwa umependea nini hujui sababu. Ni nadra sana hayo.
OFF TOPIC: nikuruhusu kurudi dar kwani mi nimekuzuia?
Kwani upo wapi?
 
Back
Top Bottom