Hatutavumilia wahujumu wa dhamira njema ya Rais katika kuliunganisha Taifa

labda hujaelewa na logic yako πŸ’
 
Nani alieijeruhi Tanzania hadi ihitaji uponyaji?
achila mbali ukoloni na biashara ya utumwa, makovu na majeraha ya vita ya kagera ni mabaya sana na bado kwa kiasi kikubwa yanaendelea kuwaumiza watanzania,

mbali na hayo,
wapo waTanzania walioshindwa vibaya chaguzi zilizopita, waliumia sana, na bado wanalamika hao ni balaaa...
Dr Samia Suluhu Hassan amekuja na 4Rs theories kuwatia moyo na kuwaomba wajipange vizuri huenda wakaambulia chochote....

nadhan kipenzi cha wananchi wote Dr.Tanzania Dr Samia Suluhu Hassan analiunganisha Taifa na kufungua nchi, na uelekeo ni mzuri mno πŸ’
 
Samia anao uwezo wa kuficha hasira yake, angekuwa ni marehemu JPM akishakuondoa kwenye serikali yake siku akitoa hotuba baada ya kukufukuza kazi ni lazima aliongelee suala lako hadharani!.

Samia ana staha sana. Siku zote hafichi tabasamu lake mbele ya watu na lugha ni ile ile laini ya kiungwana.
 
Wakati wa Magufuli mlisema anainyoosha nchi sijui nani alieipindisha nchi?
Wakati wa Samia anaiponya nchi hamsemi nani aliijeruhi nchi
 
Thread 'Uchawa ni janga linaloitafuna nchi kimaadili' Uchawa ni janga linaloitafuna nchi kimaadili
 
Wakati wa Magufuli mlisema anainyoosha nchi sijui nani alieipindisha nchi?
Wakati wa Samia anaiponya nchi hamsemi nani aliijeruhi nchi
I think that one will be there topic for other day in history,

currently,
kazi kubwa na ya maana zaidi anayoiongoza kipenzi cha wananchi wote Tanzania Dr.Samia Suluhu Hassan ni kuliunganisha taifa na kuifungua nchi miongoni mwa mataifa ya ulimwengu..

si unaona tunavyog'ara sasa kimataifa, si unaona tunavyog'ara sasa kidemokrasia, mikutano ya hadhara na maandamano rukhsa,

usafiri wa sgr, huduma za uhakika za maji, umeme, kilimo , afya n.k kila kona ya nchi?

Mungu atupee nini tena ndrugo zango πŸ’
 
Thread 'Uchawa ni janga linaloitafuna nchi kimaadili' Uchawa ni janga linaloitafuna nchi kimaadili
nachelea kurudia tena kukuahidi kwamba natafuta wasaa ni some na kujiridhisha,

na kisha,
kibobevu zaidi nije na maelezo, uchambuzi, ufafanuzi wa kitaalamu kuhusu narrative au dhana hizo mfu za unyumbu na uchawa ambazo kiuhalisia hazina athari zozote kwenye siasa na demokrasia ya Tanzania kwa ujumla πŸ’

kua mstahimilivu na mwenye subra kidogo
 
Kipenzi cha wananchi picha yake inachomwa??! Kipenzi cha wananchi anatumia polisi kupiga cdm na kuwateka wanaoikosoa serikali!! Kadanganye wajinga wanjinga!!
 
Anaka yaa,?!! Don't waste my time by misrepresenting the truth that the woman is almost as terrible as the deceased gentleman, whose soul is tormented in hell for all the wrongdoings he committed on the defenseless citizens of this beautiful country. Mom is now mimicking the harshness of the deceased Stone, and you are attempting to portray her as a bunch of naive
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…