Yoda
JF-Expert Member
- Jul 22, 2018
- 48,475
- 70,102
Kwa nini Wachina wakitoa mikopo ya miondombinu kwa nchi za Afrika ni lazima kampuni zao zisuhusike katika ujenzi?
Kila kwenye miradi mikubwa walipofadhili Wachina unakuta kampuni ya China ndio contractor mkuu, Sasa hii huwa inakuwa na maana gani ukizingatia pesa zenyewe ni za mkopo lazima zirejeshwe? Kwani hatuna ubavu wa kukataa mikopo ya aina hiyo kama vile ambavyo huwa tunasema hatutaki pesa za masharti za Magharibi(japo huwa tunazichukua)??