Hatuwezi kulinda Amani ya Watekaji na Wauaji, tutalinda Amani ya Nchi pekee

Hatuwezi kulinda Amani ya Watekaji na Wauaji, tutalinda Amani ya Nchi pekee

Mashamba Makubwa Nalima

JF-Expert Member
Joined
Mar 19, 2024
Posts
7,656
Reaction score
3,785
Tunataka kuona kaka zetu wanaifurahia hii nchi, tunataka kuona dada zetu wanaifurahia hii nchi.

Tunataka kuona wazazi wetu wanaifurahia hii nchi, tunataka kuona babu zetu wanaifurahia hii nchi.

Tunataka kuona watoto, wajukuu na vitukuu vyetu wakiifurahia hii nchi.

Hatuwezi tukawa tunaishi ndani ya nchi yetu kiuoga kwa sababu ya kikundi cha watu wachache waliyoifanya hii nchi na kila kilichomo ndani yake ni mali yao.

Hatuwezi ruhusu huu upumbavu hata kidogo
 
Back
Top Bottom