jiwe angavu
JF-Expert Member
- Aug 28, 2015
- 20,419
- 39,217
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Mnanichekesha sana.... Hivi ushawahi fuatilia kabila lako kabla ya ukoloni ukajua Mila na dini yako...yaani umeletewa kitabu kimeandikwa Mungu wa kiyahudi na mitume wa kiyahudi na wewe unasema sawa...ehe na muislam nae anakuja na mtume muarabu...huoni huyu Mungu anatokea sehemu moja tu...Tena watu hao hao ndo wanaandika na kusema ndo Mungu wa wote ..[emoji1787][emoji1787]hizi dini ni sawa na upofu
Wayahudi nao ni magaidi , sasa sijui anashughulikia magaidi gani, wakat na wao ni magaidi
Kwanza hakuna anaeomba msaada kwenu maisha ya vita katka dini yetu ni kawaida rejea history utapata majibu. Yesu sio mtoto wa Mungu ni mtoto wa Maria mungu wa wayahudi ni ndama wa dhahabu waliomtengeneza kipindi wanatoka misri mbele ya Haruni, kwahio na nyie muabudu ndama
Acheni kutukuza dini zisizowahudu, Uilam ni imani ya waarabu, Ukristo imani ya wazungu. Sisi waafrica iman yetu ni ipi?
Hakuna anaewachukia wayahudi , matendo yao ya kuua watoto na wanawake ndio yanaochukiwa?
Africa kusini si ni wakiristo wenzio mbona wame wwshitaki hao Wayahudi una maoni gani kuhusu hilo?
Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
Ibrahim (baba wa Imani) ni mkurdi. Ana asili ya Iraq. Hana asili ya Uyahudi.Alizaa na mama wa kiyahudi (Sara) na mwingine mmisri (Hajra). Alitumwa na mungu kwenda Kaanani kwa ajili ya mpango maalum. Aliwazaa Ishmael na Isaka ambao vizazi vyao viliwatoa YESU na MUHAMMAD. Yesu myahudi na Mohammad mwarabu. YESU NA MOHAMMAD WANATAMBUANA. LAKINI WAFUASI WANAPINGANA.
NDIO MAANA NIKAWAAMBIA HUO UPUUZI WAO SISI WATOTO WA MUNGU WA YAKOBO ISRAEL WASITULETEEMungu wa wayahudi na mungu wa mudi ni miungu miwili tofauti kabisa,atakaye sema wako sawa huyo ni mpumbafu na mpotoshaji
Mkuu waambie ukweli sisi sio wanafikiYesu hamtambui mudi,na wala hakuna mahali alitabiliwa kuja kijchaa mudi,usilam ni madhabahu ya shetani ili kuvuruga mpango mkuu wa wokovu duniani.
Wanajizima dataHamasi walifanya hivyo pia ile tarehe 7 oct 2023 au umesahau ama ndio kujizima data kisa ni vitukuu wa mudi.
USIBISHANE NA WANAFIKI WA HISTORIASio isa bin mariamu tena[emoji28],kasome torati upya ile mungu ndama aliharibiwa na wakauliwa wayahudi wengi walioshiriki hiyo ibada.
Ndicho mlichokuwa mnatakitafuta na Hamas na mekipata haswaaMazayuni ni wauwaji tu. wanatumia uyahudi kujificha huko, dini yao ni freemason.
Ukitaka kumpiga gaidi nawe unatakiwa uwe gaidi ndiyo utaweza kumdhibiti.Wayahudi nao ni magaidi , sasa sijui anashughulikia magaidi gani, wakat na wao ni magaidi
Chuki za wazi kwa wayahudi....husda tupuUkitaka kumpiga gaidi nawe unatakiwa uwe gaidi ndiyo utaweza kumdhibiti.
Hamas walipoenda kuvamia na kufanya mauaji wakafikiri watatafutwa wao tu Hamas na raia wao watakuwa salamaππππππ
Kwenye uislamu kuna malaika mtoa roho anaitwa Izrael ππππ.
π€£π€£π€£Ndicho mlichokuwa mnatakitafuta na Hamas na mekipata haswaa
Tofauti ya wayahudi na makaburu ni ipi? Tofauti ya Gaza na Soweto ni ipi?Mkuu ujumbe umefika waislamu na waarabu ni wanafiki....na mna husda dhidi ya wayahudi......
Sasa kichapo kikikolea acheni kutulilia sisi!!!
Sisi sio wanafiki wa historia
Ni kwamba mudi kasema Allah ni Yahweh ila wakristo na wayahudi wamekuwa corrupted...dini ya kweli ni yake...π yaani sawa nitengeneze spiderman wa bongo niseme marvel wamemkoseaMungu wa wayahudi na mungu wa mudi ni miungu miwili tofauti kabisa,atakaye sema wako sawa huyo ni mpumbafu na mpotoshaji
Mkuu ujumbe umeshafika.....sisi wakrsto sio wanafiki wa historia kama nyinyiTofauti ya wayahudi na makaburu ni ipi? Tofauti ya Gaza na Soweto ni ipi?
TATIZO LA WAISLAMU WANADHANI MUNGU WAO WA KIARABU NDIO MUNGU WETU......WANAJIZIMISHA DATANi kwamba mudi kasema Allah ni Yahweh ila wakristo na wayahudi wamekuwa corrupted...dini ya kweli ni yake...π yaani sawa nitengeneze spiderman wa bongo niseme marvel wamemkosea
We pia huyo Mungu wako ni wa kiyahudiTATIZO LA WAISLAMU WANADHANI MUNGU WAO WA KIARABU NDIO MUNGU WETU......WANAJIZIMISHA DATA