FRANCIS DA DON
JF-Expert Member
- Sep 4, 2013
- 38,920
- 44,970
Sawa, umefika, haya tujadili hoja sasa.Mkuu ujumbe umeshafika.....sisi wakrsto sio wanafiki wa historia kama nyinyi
Tofauti ya Wayahudi na Makaburu ni ipi?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Sawa, umefika, haya tujadili hoja sasa.Mkuu ujumbe umeshafika.....sisi wakrsto sio wanafiki wa historia kama nyinyi
YEAH MM NIMECHAGUA MUNGU WA KIYAHUDI YEHOVA MKUUWe pia huyo Mungu wako ni wa kiyahudi
ACHA UNAFIKI WA HISTORIA NA NDIO TATIZO LA WAISLAMU NA WAARABU NI UNAFIKI WA HISTORIA YA WAYAHUDI.......NA NDIO MAANA WANACHAPWA SINCE 1920....Sawa, umefika, haya tujadili hoja sasa.
Tofauti ya Wayahudi na Makaburu ni ipi?
Sawa tutaacha unafiki..,ACHA UNAFIKI WA HISTORIA NA NDIO TATIZO LA WAISLAMU NA WAARABU NI UNAFIKI WA HISTORIA YA WAYAHUDI.......NA NDIO MAANA WANACHAPWA SINCE 1920....
UZURI ULIMWENGU HAUDANGANYIKI...TUNAJUA....NA UJUMBE TUNAFIKISHA
SawaYEAH MM NIMECHAGUA MUNGU WA KIYAHUDI YEHOVA MKUU
Yaani Mungu wenu ni dhaifu kiasi gani kama aliweza kuuwawa na Binadamu alio waumba?Kwanza hatuwezi kuwashangaa kutuchukia,tunaijua sababu ya wao kutuchukia maana walimchukia hata Mungu wetu wakamwua,sembuse sisi wafuasi wake!!!
NYINYI HAMUWEZI KUACHA UNAFIKI...WA HISTORIASawa tutaacha unafiki..,
Haya tujadili hoja sasa,
Nini tofauti ya Wayahudi na Makaburu?
Hayo maoni yako sisi hayatuhusuYaani Mungu wenu ni dhaifu kiasi gani kama aliweza kuuwawa na Binadamu alio waumba?
Tutumieni akili kufikiria tunayoambiwa/tunayosoma, haya mambo ya kulishwa matango pori, yatatupa wakati mgumu sana siku za mwisho!
Karibu mkuuuSawa
Hayo maoni yako ila sisi tunafuata maagizo ya YEHOVAWao wanatupenda?wao wan time na sisi kama sisi tunavojishuulisha nao?
Achana nae.....hajui chochoteUmewaza kitoto sana
Anaforce definition ya mudi ya Mungu ndo iwe ya dunia nzima...wakati Mungu wake mwenyewe ni story tu...ni kama marvel na dc washindane superhero Gani ana nguvuUmewaza kitoto sana
MKUU UMEONGEA UKWELI KABISA....WAO WANADHANI MUNGU WAO NDIO MUNGU WETU YEHOVA MUNGU WA YAKOBO ISRAELAnaforce definition ya mudi ya Mungu ndo iwe ya dunia nzima...wakati Mungu wake mwenyewe ni story tu...ni kama marvel na dc washindane superhero Gani ana nguvu
🤣Mungu wakoMKUU UMEONGEA UKWELI KABISA....WAO WANADHANI MUNGU WAO NDIO MUNGU WETU YEHOVA MUNGU WA YAKOBO ISRAEL
Nini tofauti ya Wayahudi na Makaburu?NYINYI HAMUWEZI KUACHA UNAFIKI...WA HISTORIA
SI UNAONA UNANIULIZA SWALI LA KINAFIKI NA JIBU UNAJUA???
TOFAUTI YA BOERS NA JEW,S
Yeah mungu wangu mkuu🤣Mungu wako
Kuna lolote la uongo katika haya niliyoandika?Umewaza kitoto sana
Mungu ni mmoja tu aliumba Dunia na mbingu, alikuumba wewe , aliyemuumba Yesu na aliyeniumba Mimi ni huyo huyo mmojaYEAH MM NIMECHAGUA MUNGU WA KIYAHUDI YEHOVA MKUU
Unadhani Mungu hawezi kujivika mwili nakuja kuishi na wanadamu ili awakomboe ?Kuna lolote la uongo katika haya niliyoandika?
Yesu huyu huyu aliyekuwa anavalishwa nepi na mama yake alipokuwa mtoto mchanga
Alipokuwa kidogo akawa anacheza kombolela na watoto wenziwe katika mitaa ya Galilaya
Alipokuwa mkubwa akawa fundi seremala akichonga vitanda na makabati Ili kujipatia riziki yake
Leo ndio amekuwa Mungu wako?
Alafu Yesu alikuwa na dada yake kwahiyo wale watoto wa dada yake mjomba wao ni Mungu?
Yani Kuna watu hapa Duniani Mungu wenu Yesu wao ni mjomba wao