Hatuwezi kuwachukia wayahudi kwa wivu wa kijinga na husda na roho mbaya

Hatuwezi kuwachukia wayahudi kwa wivu wa kijinga na husda na roho mbaya

Sawa, umefika, haya tujadili hoja sasa.

Tofauti ya Wayahudi na Makaburu ni ipi?
ACHA UNAFIKI WA HISTORIA NA NDIO TATIZO LA WAISLAMU NA WAARABU NI UNAFIKI WA HISTORIA YA WAYAHUDI.......NA NDIO MAANA WANACHAPWA SINCE 1920....
UZURI ULIMWENGU HAUDANGANYIKI...TUNAJUA....NA UJUMBE TUNAFIKISHA
 
Sawa tutaacha unafiki..,
Haya tujadili hoja sasa,

Nini tofauti ya Wayahudi na Makaburu?
 
Wao wanatupenda?wao wan time na sisi kama sisi tunavojishuulisha nao?
 
Kwanza hatuwezi kuwashangaa kutuchukia,tunaijua sababu ya wao kutuchukia maana walimchukia hata Mungu wetu wakamwua,sembuse sisi wafuasi wake!!!
Yaani Mungu wenu ni dhaifu kiasi gani kama aliweza kuuwawa na Binadamu alio waumba?
Tutumieni akili kufikiria tunayoambiwa/tunayosoma, haya mambo ya kulishwa matango pori, yatatupa wakati mgumu sana siku za mwisho!
 
Hayo maoni yako sisi hayatuhusu
 
Anaforce definition ya mudi ya Mungu ndo iwe ya dunia nzima...wakati Mungu wake mwenyewe ni story tu...ni kama marvel na dc washindane superhero Gani ana nguvu
MKUU UMEONGEA UKWELI KABISA....WAO WANADHANI MUNGU WAO NDIO MUNGU WETU YEHOVA MUNGU WA YAKOBO ISRAEL
 
Umewaza kitoto sana
Kuna lolote la uongo katika haya niliyoandika?

Yesu huyu huyu aliyekuwa anavalishwa nepi na mama yake alipokuwa mtoto mchanga

Alipokuwa kidogo akawa anacheza kombolela na watoto wenziwe katika mitaa ya Galilaya

Alipokuwa mkubwa akawa fundi seremala akichonga vitanda na makabati Ili kujipatia riziki yake

Leo ndio amekuwa Mungu wako?

Alafu Yesu alikuwa na dada yake kwahiyo wale watoto wa dada yake mjomba wao ni Mungu?

Yani Kuna watu hapa Duniani Mungu wenu Yesu wao ni mjomba wao
 
YEAH MM NIMECHAGUA MUNGU WA KIYAHUDI YEHOVA MKUU
Mungu ni mmoja tu aliumba Dunia na mbingu, alikuumba wewe , aliyemuumba Yesu na aliyeniumba Mimi ni huyo huyo mmoja

Ila Kwa sababu wewe hamjui huyo Mungu mwenyewe ndio unadhani labda Kuna Mungu wa wayahudi na Mungu wa Waarabu na Mungu wa wachina

Yohana 17:3
Na uzima wa milele ndio huu, Wakujue wewe, Mungu wa pekee wa kweli, na Yesu Kristo uliyemtuma.

Nyinyi wagalatia DOGUMA imewapoteza wazungu watu wabaya sana
 
Kuna lolote la uongo katika haya niliyoandika?

Yesu huyu huyu aliyekuwa anavalishwa nepi na mama yake alipokuwa mtoto mchanga

Alipokuwa kidogo akawa anacheza kombolela na watoto wenziwe katika mitaa ya Galilaya

Alipokuwa mkubwa akawa fundi seremala akichonga vitanda na makabati Ili kujipatia riziki yake

Leo ndio amekuwa Mungu wako?

Alafu Yesu alikuwa na dada yake kwahiyo wale watoto wa dada yake mjomba wao ni Mungu?

Yani Kuna watu hapa Duniani Mungu wenu Yesu wao ni mjomba wao
Unadhani Mungu hawezi kujivika mwili nakuja kuishi na wanadamu ili awakomboe ?
 
Back
Top Bottom