jiwe angavu
JF-Expert Member
- Aug 28, 2015
- 20,419
- 39,217
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Mnanichekesha sana.... Hivi ushawahi fuatilia kabila lako kabla ya ukoloni ukajua Mila na dini yako...yaani umeletewa kitabu kimeandikwa Mungu wa kiyahudi na mitume wa kiyahudi na wewe unasema sawa...ehe na muislam nae anakuja na mtume muarabu...huoni huyu Mungu anatokea sehemu moja tu...Tena watu hao hao ndo wanaandika na kusema ndo Mungu wa wote ..[emoji1787][emoji1787]hizi dini ni sawa na upofu
Mungu wa wayahudi na mungu wa mudi ni miungu miwili tofauti kabisa,atakaye sema wako sawa huyo ni mpumbafu na mpotoshaji