fidel castro wapili
JF-Expert Member
- Mar 18, 2017
- 3,497
- 2,911
Hilo hawalijuiWayahudi waliishi ulaya kwa miaka mingi chini ya mateso ,kutengwa na madhila mengine lakini katika ardhi za Waislamu walikuwa huru mpaka vyeo Serikali walipata..
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hilo hawalijuiWayahudi waliishi ulaya kwa miaka mingi chini ya mateso ,kutengwa na madhila mengine lakini katika ardhi za Waislamu walikuwa huru mpaka vyeo Serikali walipata..
Yeah.......nadhani waliofanya walifanya kwa kuona kwao ni sahiiUnahalalisha kwamba hata mauaji kimbari huko kwenu ilikuwa sahihi
Mbona lipo wazi......wahispania,warumi,wakoloni wa kiarabu wa grenada uhispania......wote hao waliua maelfu ya Diaspora wa kiyahudiHilo hawalijui
Tangu lini waarabu waliwafanya wayahudi equal citizen kwenye himaya zao.......zaidi ya kua watumwa,vijakazi na sex slave......nambaya zaidi kuwaondoa katika aridhi za mababu zao kule mashariki ya kati na kuzikalia wao.Wayahudi waliishi ulaya kwa miaka mingi chini ya mateso ,kutengwa na madhila mengine lakini katika ardhi za Waislamu walikuwa huru mpaka vyeo Serikali walipata..
History of PALESTINIAN STATE:Tangu lini waarabu waliwafanya wayahudi equal citizen kwenye himaya zao.......zaidi ya kua watumwa,vijakazi na sex slave......nambaya zaidi kuwaondoa katika aridhi za mababu zao kule mashariki ya kati na kuzikalia wao.
Population ya wayahudi morroco,tunisia,libya,saudia,misri,sudan,yemeni,oman,iran,iraq,kuwait...and ect........ipo wapi????
Jibu unalo kwa kilichowatokea kwa zaidi ya miaka 3000
Wewe umeitoa wapi.......google......au waaarabu ndio wamekuadithia mkuu???History of PALESTINIAN STATE:
1. Before Israel, there was a British mandate, not a Palestinian state
2. Before the British Majndate, there was the Ottoman Empire, not a Palestinian state.
3. Before the Ottoman Empire, there was the Islamic state of the Mamluks of Egypt, not a Palestinian state.
4. Before the Islamic state of the Mamluks of Egypt, there was the Ayubid Arab-Kurdish Empire, not a Palestinian state.
5. Before the Ayubid Empire, there was the Frankish and Christian Kingdom of Jerusalem, not a Palestinian state.
6. Before the Kingdom of Jerusalem, there was the Umayyad and Fatimid empires, not a Palestinian state.
7. Before the Umayyad and Fatimid empires, there was the Byzantine empire, not a Palestinian state.
8. Before the Byzantine Empire, there were the Sassanids, not a Palestinian state.
9. Before the Sassanid Empire, there was the Byzantine Empire, not a Palestinian state.
10. Before the Byzantine Empire, there was the Roman Empire, not a Palestinian state.
11. Before the Roman Empire, there was the Hasmonean state, not a Palestinian state.
12. Before the Hasmonean state, there was the Seleucid, not a Palestinian state.
13. Before the Seleucid empire, there was the empire of Alexander the Great, not a Palestinian state.
14. Before the empire of Alexander the Great, there was the Persian empire, not a Palestinian state.
15. Before the Persian Empire, there was the Babylonian Empire, not a Palestinian state.
16. Before the Babylonian Empire, there were the Kingdoms of Israel and Judah, not a Palestinian state.
17. Before the Kingdoms of Israel and Judah, there was the Kingdom of Israel, not a Palestinian state.
18. Before the kingdom of Israel, there was the theocracy of the twelve tribes of Israel, not a Palestinian state.
19. Before the theocracy of the twelve tribes of Israel, there was an agglomeration of independent Canaanite city-kingdoms, not a Palestinian state.
20. Actually, in this piece of land there has been everything, EXCEPT A PALESTINIAN STATE.
Au ndio wale wa kusema himaya ya Israel imeanza 1948 🤣🤣🤣History of PALESTINIAN STATE:

NDIODuh! Mungu wenu myahudi!?.........
NDIOHivi ww jamaa una akili kweli?
Kwahiyo sifa ya kuwa mkirsito ni kushangilia mauaji ya watu kisa ni waarabu?
Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
NDIOMungu wetu mwenyewe ni myahudi. Tutachukiaje wayahudi?
KUMBE HUNA AKILI KABISA, UNAABUDU USICHOKIJUA.
NDIOWatoto wa MUNGU wa WAKRISTO walimuua baba yao
Masikini kweli akili mtaji
Sijui, jiulize sasa mwenyewe huko na basha wako mwarabuUnatakiwa ujibu hoja uache mipasho kama Ramaphosa hana haki ya kuwakirisha wakiristo ww hiyo haki umeipata wapi na umepewa na nani?
Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
Nimepewa na JACOB ZUMA MZEE WA MK......ANC NI VIBARAKA WA WAARABUUnatakiwa ujibu hoja uache mipasho kama Ramaphosa hana haki ya kuwakirisha wakiristo ww hiyo haki umeipata wapi na umepewa na nani?
Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
Familia ya mavi.SISI WAKRSTO NI WANAFAMILIA......AU WEWE HUJUI!!!!
Sisi hatuna chuki.....na ndio maana tunakataa unafiki wa waislamu na waarabu wa kutushawishi tuwachukie wayahudi mkuuFamilia ya mavi.
Ujinga umekujaa tu
Hakuna mkristu kamili aliye na chuki kama wewe, sijui ukristu wako ni wa Biblia gani.
Kihistoria Wayahudi walipitia mateso makali sana ulaya kuliko Uarabuni ambao walikuwa wakiishinkwa amani ,Waislamu walipoteka Jerusalem kwa mara ya kwanza waliruhusu Wayahudi kuwepo Jerusalem kuishi na kufanya ibada zao hap tofauti na ilivyokuwa under Romans.Tangu lini waarabu waliwafanya wayahudi equal citizen kwenye himaya zao.......zaidi ya kua watumwa,vijakazi na sex slave......nambaya zaidi kuwaondoa katika aridhi za mababu zao kule mashariki ya kati na kuzikalia wao.
Population ya wayahudi morroco,tunisia,libya,saudia,misri,sudan,yemeni,oman,iran,iraq,kuwait...and ect........ipo wapi????
Jibu unalo kwa kilichowatokea kwa zaidi ya miaka 3000
Tatizo lako mkuu sababu muislamu basi unawatetea waarabu hata wakifanya mabaya......ni sawa na wale wakrsto wanaotetea wayahudi hata wakifanya mabaya.Kihistoria Wayahudi walipitia mateso makali sana ulaya kuliko Uarabuni ambao walikuwa wakiishinkwa amani ,Waislamu walipoteka Jerusalem kwa mara ya kwanza waliruhusu Wayahudi kuwepo Jerusalem kuishi na kufanya ibada zao hap tofauti na ilivyokuwa under Romans.