Haudaiwi chochote na girlfriend wako

😀😀😀😀
 
Napenda ulivyofocus kwny suala la kutetea wanaume ambao wengi wetu huwa hatuongea kama hvyo.
Yaani hata wakuseme vp ww umekoamaa tu.

Safi sana mkuu, keep it up!!
Ni Putin huyu katika hili
 
Nasema very nice. Ushauri murua.
 
Huyu mwamba kaeleza kwa upana based on utafiti. Umesema vyema.
 

Attachments

Mada zako ni nzuri sana kwa Wanaume wote, Endelea bro tupo pamoja
Kwa jamii yetu ya sasa ambayo ina wanaume wengi sana dhaifu(SIMPS) kutokana na mabadiliko ya kimfumo wa maisha ambayo yanamdunisha zaidi mwanaume na kumuimarisha mwanamke... kuna haja ya kusambaza redpill awareness wanaume wote, na watu kama Natafuta Ajira tunawahitaji sana hili waweze kusambaza hiyo redpill knowledge kukiokoa hiki kizazi cha kiume kabla hakijaangamia zaidi.

Marehemu Kevin Samuel ameacha legacy kubwa sana kwa wale waliokuwa wakimfuatilia, aliwafanya wanaume watambue thamani yao na kuona jinsi legal system ilivyokuwa ni kandamizi kwa mwanaume na wanawake wanavyoitumia kutimiza malengo yao binafsi. Sasa watu kama hao kwa dunia ya sasa hivi ni wachache sana na wanachukuliwa kama maadui wa jamii.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…