Haudaiwi chochote na girlfriend wako

Upo sahihi kabisa asiyesikia baadhi ya maonyo ya huyu jamaa siku moja kitamkuta kilio ambacho hakuna leso itatosha kufuta machozi.
 
Oya mwana wapumzishe, sio kwa spana hizi 😂😂
 
Kuna manzi yangu mmoja huwa namsaidia anapohitaji msaada wa kifedha na kama sipo vizuri namuambia kwamba sipo vizuri ila anytime nikifanikiwa nitakutumia.

Kama siku 4 zilizopita aliniomba kiasi flani cha pesa kwakua ana emergency lakini kwa bahati mbaya hakikua ndani ya uwezo wangu kwa wakati huo, alionyesha kunielewa lakini baadae nikaona anajibu sms zangu kama vile namlazamisha nikaona sio kesi na mimi nikapiga kimya baada ya kuona hayuko normal sababu sijamtatulia shida yake.

Amezoea kuona mimi ni mtu wa kujirudi sana kwake sasa this time around nimeshachoka na nimeamua na mimi niachane nae mazima kimyakimya ingawa kwa akili yake najua anahisi kwamba nitajirudi kumbe mimi ndo nitolee hiyo mana nimemvumilia kwa muda mrefu sana hii tabia yake ya kununanuna sasa kiukweli nimemchoka kabisa na sitegemei kabisa kurudi kwake.This time ndo ataelewa kwamba sio kila wakati ni wakujaribiana.
 
Yani kama huna pesa anakununia na wewe bado tu ukawa naye?we jamaa bana jinga kabisa
 
Fukuza kunguru.
 
Shida ni moja, kizazi cha watoto wa kiume kuanzia mwaka 1999 kurudi nyuma kimeaminishwa kuwa wanawake ndio daraja la pekee la mafanikio lilipo kati ya future ya mtoto wa kiume na alipo.

Wanaaminishwa kuwa mwanamke ndie anayekuja na funguo za maisha yake ya mafanikio. Kwamba mtoto wa kiume ambaye ana mshahara wa laki tano au milioni au anapiga mishe zake binafsi zinazomlipa 40,000 per day hawezi kujikimu mwenyewe na kujijenga kimaisha na kupanga mipango yake binafsi na kuisimamia bila mwanamke pembeni.

Huu ndio ulemavu wa fikra jamii inayoendeshwa na mawazo ya mafenist imemjaza "Boy child" uoga wa maisha bila mwanamke wakati huo sio uhalisia. Wanajua siku "boy child" akicrack code ya kuishi maisha nje ya mfumo wa Ndoa na akifanikiwa kutoboa utakuwa ndio mwanzo wa ndoa kutokuwa kipaumbele na wanawake wataishi kwa kujitegemea gharama bila msaada wa mwanaume kwa lolote kwa 100% jambo ambalo hata wa huko ulaya wameshindwa na wanakazi nzuri na mishahara mizuri.
 
Tafuta hela kutengeneza thamani yako baada ya hapo hao wanawake watajileta kwako wenyewe utaamua uwatumie kwa starehe au uchukue mmoja anaefaa kuwa mke uweke ndani.
Shida vijana hawajui matumizi sahihi ya hard earned money zao nje ya mwanamke. Waulize ukiweka hiyo pesa benki baada ya miaka miwili haujapata hela ya Bajaji mbili za kukuletea hesabu hapo kwako.

Target iwe kuongeza multiple streams of income sio pussy za kudrain income yako. Madogo wanapewa elimu mtambuka ili wautumie ujana wao kujijengea hazina ya uzeeni na pesa zao ziwe reasonable kwao wanakazana kuwa pussy driven, akipata milioni laki nane anatumia kwa demu laki mbili anaichakaza yeye tena kwa kulipa madeni. Muulize benki ana salio la kiasi gani sasa usikie majibu yake.

Boy child aelimishwe aachane na ujinga wa kuwa mtaji wa maisha ya wanawake wa kisasa hawa waliojawa utapeli wa mapenzi.
 
Kabisa. Na katika hili tuzungumzie na wanawake kujiachia wakishapa mtoto wa kwanza wanakuwa kama viboko halafu wanataka wapendwe kama vile wana mvuto.
 
Kuna Kibinti eti kisa efu 50k kinadai kimeniacha nifate maisha yangu. Asa elfu 50 si nampa mama muuza matunda mtaji kabisa.Vitoto vya 2000 shiida kweli vinaamini Wandewa tutavitunza,,,asubutu "hit and run" ndiyo slogan yetu
 
Aliniomba niongeze maumbile hasa urefu , mpaka sasa anasubiri jibu. Ndicho ninachodaiwa.
 
Infact siongei na wanawake, walengwa wakubwa wa maandiko yangu ni wanaume wenzangu, wanawake huwa huwa mnapiga mayowe baada ya kupigwa na jiwe gizani.
Wewe piga injili mkuu sisi wadhamini tupo

Tutabidi tutafute namna jf meet party ijao kuwe na ka section kako binafsi ka kuendeleza kutandaza elimu hii adhimu😂

Naona umekuja kama mpakwa mafuta ya kutangaza neno injili iwakae kwa roho

Tupe maneno buldoza

Wakaange hasa😂
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…