Kwa jamii yetu ya sasa ambayo ina wanaume wengi sana dhaifu(SIMPS) kutokana na mabadiliko ya kimfumo wa maisha ambayo yanamdunisha zaidi mwanaume na kumuimarisha mwanamke... kuna haja ya kusambaza redpill awareness wanaume wote, na watu kama
Natafuta Ajira tunawahitaji sana hili waweze kusambaza hiyo redpill knowledge kukiokoa hiki kizazi cha kiume kabla hakijaangamia zaidi.
Marehemu Kevin Samuel ameacha legacy kubwa sana kwa wale waliokuwa wakimfuatilia, aliwafanya wanaume watambue thamani yao na kuona jinsi legal system ilivyokuwa ni kandamizi kwa mwanaume na wanawake wanavyoitumia kutimiza malengo yao binafsi. Sasa watu kama hao kwa dunia ya sasa hivi ni wachache sana na wanachukuliwa kama maadui wa jamii.