Haujachelewa kuchukua hatua ya kwanza, anza kuishi sasa

Haujachelewa kuchukua hatua ya kwanza, anza kuishi sasa

Asante

Ila kwanini wabantu huwa mnaigiza sana Maisha ikifika ramadhan na hiyo mnaiita kwaresima mnajifanya wacha mungu WTF

Unakuta mtu amefunga Ila anavuta sigara

Mwingine mzinzi anasema akai na mchipuko kwakuwa hajamuoa n.k
 
Hii changamoto, leo sijui nitakula nini, jana nadaiwa, nikipata hela leo nilipe deni la jana ninunue chakula leo, sina hakika kama itabaki ya akiba , na haiwezekani kuweka akiba njaa ikiwa inauma.
😀😀😀😀 na uyo anaekwambia uweke akiba anataka umuhudumie mahitaji yake, kama kipimo cha kuonyesha unamjali.
 
Asante

Ila kwanini wabantu huwa mnaigiza sana Maisha ikifika ramadhan na hiyo mnaiita kwaresima mnajifanya wacha mungu WTF

Unakuta mtu amefunga Ila anavuta sigara

Mwingine mzinzi anasema akai na mchipuko kwakuwa hajamuoa n.k

Hivi kuvuta sigara ni dhambi?
 
Back
Top Bottom