Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Unamaneno ya kilaghai sana!
Hahah kwann nilaghai Sasa😀😀Unamaneno ya kilaghai sana!
sijui!Hahah kwann nilaghai Sasa😀😀
sijui!Hahah kwann nilaghai Sasa😀😀
We mie sina dhambi🤣🤣Niambie umeamua kuacha dhambi ipi kati ya zile nazozijua my love🤣 ili nianze kufunga kwa ajili yako.
Uni quoteKuacha dhambi si jambo rahisi!siku moja nitawaletea kiasi cha dhambi niliyokuwa namwomba Mungu niiache na kuisahau...baada ya miaka nane Mungu amejibu ombi langu!!kilichofuata sasa ndo kisa chenyewe!!
Haujachelewa
1. Kutubu na kuamua kuacha dhambi zinazokutesa kila siku
2. Kuanza kusave pesa hiyo ndogo unayoipata
3. Kuanza upya mahusiano yako ya kiimani, kimapenzi
4. Kufanya ndoto zako kuwa uhalisia
Muhimu na uzingatie
1. We don't chase people, we chase dreams
2. Live for yourself
3. Think for yourself, not about what others think of you
4. Get up and live!
Mwenyezi Mungu atujaalie wakati mwema msimu huu wa toba wa Ramadan na kwaresma... maovu/makosa/dhambi (z)yetu na maombi yetu yakapate kusikilizwa, tukapate moyo wa kujisamehe na kuanza upya.
Amen!
Good Morning people ✌
View: https://youtu.be/YaEG2aWJnZ8?feature=shared
Nifunge ili nife njaaa...mie napenda mandi mbuzi na tamu ikiliwa mchana