Haujachelewa kuchukua hatua ya kwanza, anza kuishi sasa

Haujachelewa kuchukua hatua ya kwanza, anza kuishi sasa

cheki lilivyo lilaghai!.. mi sinywi na sijawahi na sihitaji ondoka pepo la ulevi..🤣

Hii tabia ya kuniita Li fulani imeanza lini kwanza kabla sijakunywesha pombe kwa nguvu

Unaniita Li na hivi nilivyo kweli?🤣
 
Hii tabia ya kuniita Li fulani imeanza lini kwanza kabla sijakunywesha pombe kwa nguvu

Unaniita Li na hivi nilivyo kweli?🤣
ili nisikuite hivyo nitumie picha yako pm nikuone ili ndo nibadili alasivyo utaendelea kuwa li yani lidada, limama, limwizi, lilaghai n.k🤣
 
ili nisikuite hivyo nitumie picha yako pm nikuone ili ndo nibadili alasivyo utaendelea kuwa li yani lidada, limama, limwizi, lilaghai n.k🤣

Nimelia kinyama 😂😂
 
Haujachelewa
1. Kutubu na kuamua kuacha dhambi zinazokutesa kila siku
2. Kuanza kusave pesa hiyo ndogo unayoipata
3. Kuanza upya mahusiano yako ya kiimani, kimapenzi

4. Kufanya ndoto zako kuwa uhalisia

Muhimu na uzingatie
1. We don't chase people, we chase dreams
2. Live for yourself
3. Think for yourself, not about what others think of you
4. Get up and live!

Mwenyezi Mungu atujaalie wakati mwema msimu huu wa toba wa Ramadan na kwaresma... maovu/makosa/dhambi (z)yetu na maombi yetu yakapate kusikilizwa, tukapate moyo wa kujisamehe na kuanza upya.

Amen!

Good Morning people ✌

View: https://youtu.be/YaEG2aWJnZ8?feature=shared

This is powerful, it might be a game changer
 
Back
Top Bottom