Haujachelewa kuchukua hatua ya kwanza, anza kuishi sasa

Asante

Ila kwanini wabantu huwa mnaigiza sana Maisha ikifika ramadhan na hiyo mnaiita kwaresima mnajifanya wacha mungu WTF

Unakuta mtu amefunga Ila anavuta sigara

Mwingine mzinzi anasema akai na mchipuko kwakuwa hajamuoa n.k
 
Kesho tunaanza mfingo pamoja na ndg zetu cc Wajomba?

Sio jumatano?
Sina uhakika wanaanza lini manake mie huwa sifungi πŸ˜€
 
Hii changamoto, leo sijui nitakula nini, jana nadaiwa, nikipata hela leo nilipe deni la jana ninunue chakula leo, sina hakika kama itabaki ya akiba , na haiwezekani kuweka akiba njaa ikiwa inauma.
πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€ na uyo anaekwambia uweke akiba anataka umuhudumie mahitaji yake, kama kipimo cha kuonyesha unamjali.
 
Sio jumatano?
Sina uhakika wanaanza lini manake mie huwa sifungi πŸ˜€
Awamu hii tufunge na ndg zetu wanaanza kesho 2/3.
Najua hupendi kuacha msosi🀣
 
Asante

Ila kwanini wabantu huwa mnaigiza sana Maisha ikifika ramadhan na hiyo mnaiita kwaresima mnajifanya wacha mungu WTF

Unakuta mtu amefunga Ila anavuta sigara

Mwingine mzinzi anasema akai na mchipuko kwakuwa hajamuoa n.k

Hivi kuvuta sigara ni dhambi?
 
πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€ na uyo anaekwambia uweke akiba anataka umuhudumie mahitaji yake, kama kipimo cha kuonyesha unamjali.

Nimecheka kwa huzuni πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Awamu hii tufunge na ndg zetu wanaanza kesho 2/3.
Najua hupendi kuacha msosi🀣

Siwezi ishi bila nyama πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…