Unamaneno ya kilaghai sana!Nnπ
Hahah kwann nilaghai SasaππUnamaneno ya kilaghai sana!
sijui!Hahah kwann nilaghai Sasaππ
sijui!Hahah kwann nilaghai Sasaππ
We mie sina dhambiπ€£π€£Niambie umeamua kuacha dhambi ipi kati ya zile nazozijua my loveπ€£ ili nianze kufunga kwa ajili yako.
Uni quoteKuacha dhambi si jambo rahisi!siku moja nitawaletea kiasi cha dhambi niliyokuwa namwomba Mungu niiache na kuisahau...baada ya miaka nane Mungu amejibu ombi langu!!kilichofuata sasa ndo kisa chenyewe!!
Very constructive joanah.Haujachelewa
1. Kutubu na kuamua kuacha dhambi zinazokutesa kila siku
2. Kuanza kusave pesa hiyo ndogo unayoipata
3. Kuanza upya mahusiano yako ya kiimani, kimapenzi
4. Kufanya ndoto zako kuwa uhalisia
Muhimu na uzingatie
1. We don't chase people, we chase dreams
2. Live for yourself
3. Think for yourself, not about what others think of you
4. Get up and live!
Mwenyezi Mungu atujaalie wakati mwema msimu huu wa toba wa Ramadan na kwaresma... maovu/makosa/dhambi (z)yetu na maombi yetu yakapate kusikilizwa, tukapate moyo wa kujisamehe na kuanza upya.
Amen!
Good Morning people β
View: https://youtu.be/YaEG2aWJnZ8?feature=shared
Kuacha dhambi si jambo rahisi!siku moja nitawaletea kiasi cha dhambi niliyokuwa namwomba Mungu niiache na kuisahau...baada ya miaka nane Mungu amejibu ombi langu!!kilichofuata sasa ndo kisa chenyewe!!
Nifunge ili nife njaaa...mie napenda mandi mbuzi na tamu ikiliwa mchana