Hauwezi pambana na intel ya USA. Jamaa wanajua kile unachotaka kuwafanyia na kama hawajui watakupata tu baada ya kuwafanyia

Hauwezi pambana na intel ya USA. Jamaa wanajua kile unachotaka kuwafanyia na kama hawajui watakupata tu baada ya kuwafanyia

Hili hata mimi ninaeishi Mziha nilikuwa najua lingeweza kutokea sembuse hao wakubwa!

Kama wakasema watalipa kisasi kwa Marekani juu ya yule kamanda wao alieuliwa mwaka juzi January wangeshindwa hapo kweli!!

Hiyo Intel ingekuwa inajua ilikuwa imelala September 11!

Vipi kuhusu zile balozi Tz na Kenya kushambuliwa

October 7 je?
 
Hata kabla Russia kuishambulia Ukraine walitoa full info hadi siku ya kushambulia
Upupu mtupu
Kwamba Russia kaweka majeshi yake mpakani na Ukraine zaidi ya miezi mitatu, hata sisi wa Nainilinji tulikuwa tunajua kifuatacho ITV
lakini nyie walokole mlipewa maono na US
 
Lakini kutwa wanasaka VISA kwenda USA.
Ndio wawakirishi wetu wakubwa nchi za western sana sana wazanji, kila nchi wamejaa sisi wachunga Ngombe au wala Sato tutaishia kuwashangilia tu na kuona kama wazungu ni ndugu zetu...kama ilivo kiswahili tunakiona chetu ukitoka nnje inaonekana Lugha ya Kenya kwani ndio inajulikana kushinda hapa kwetu kwa wavaa miwani ya mbao na kufukuzia vikazi vya mishahara ya lakinne.
 
Hakuna nchi inayoitwa Pueto Rico, Pueto Rico ni External Territory ya USA katika bahari ya Carribean, Pueto Rico wana Gavana, kama majimbo mengine ya Marekani.
Lugha ya fasihi tu kukwepa sheria za kimtandao. Wasije kunichukulia kifaa changu cha mawasiliano.
 
Sio kweli mkuu.
Iran imemuambia Isreal kabla , makombora yanarushwa jamaa wanatoa taarifa.

Marekani alisema ndani ya masaa kadhaa ila ikapita, alichosema USA ni kwamba Iran lazima alipize sio wakumchezea , kumbuka walimwangamiza kiongozi wao walijibu fasta.
 
Tuna mahaba na wamarekani wakati wao hawana mahaba na sisi, Rejea issue za utumwa ukoloni ubaguzi wa rangi kwaita wapigania uhuru kuwa ni kahaidi kama vile ANC, MPLA FRELIMO PLO n.k
 
Back
Top Bottom