Hauwezi pambana na intel ya USA. Jamaa wanajua kile unachotaka kuwafanyia na kama hawajui watakupata tu baada ya kuwafanyia

Hauwezi pambana na intel ya USA. Jamaa wanajua kile unachotaka kuwafanyia na kama hawajui watakupata tu baada ya kuwafanyia

Kabla ya Iran kurusha missiles kwenda Israel waandishi walimuuliza Biden kama anategemea Iran kuishambulia Israel. Biden alichojibu ni "very soon". Na kabla ya kutoa kauli hii wizara ya ulinzi ilikuwa ishasema ndani ya masaa 24 au 48. Kilichotokea kiliendana sawa sawa na kauli za viongozi wa Marekani.

Kutokana na chuki mliyonayo juu ya Marekani wanajitahidi katika kundi lenu la waru 10 lazima awe na mmoja ambae anawapa taarifa na kama hatapata mmoja wenu basi atatengeneza mwingine wa kufanana na nyie ili alijiunge na asipopata huyo stranger wa kuweza kuwaingia basi atatengeneza kundi la kupambana na nyie politically au militarily.

Hawa jamaa wanahakikisha katika kila Intelligence agency ya kila nchi lazima wawe na mtu mule wa kuwapatia details zozote zinazowahusu wao na wanachi wao wanaoishi katik nchi hio.

Wanawekeza pakubwa katika ulinzi na inteligensia maana wanajua wana upinzani mkubwa sana.

Kama unawabeza hawa jamaa na kutishia usalama wao nenda ka-google kuhusu Faisal bin Abdulaziz Al Saud aliegoma kuwauzia mafuta kisa walikuwa wana support Israel dhidi ya Palestine.
anguko lao lipo tu
siku wakichanganya dini na siasa, the nation will fall apart. that is what is it.
 
Hili hata mimi ninaeishi Mziha nilikuwa najua lingeweza kutokea sembuse hao wakubwa!

Kama wakasema watalipa kisasi kwa Marekani juu ya yule kamanda wao alieuliwa mwaka juzi January wangeshindwa hapo kweli!!

Hiyo Intel ingekuwa inajua ilikuwa imelala September 11!

Vipi kuhusu zile balozi Tz na Kenya kushambuliwa

October 7 je?
Hizo zote walikuwa na fununu!
Hata october 7 walionya
Hamfuatilii habari nyi'e watu
 
Unajua yafsiri ya huyu mwewe (American Eagle) ?
 

Attachments

  • images (75).jpeg
    images (75).jpeg
    25.5 KB · Views: 6
Mleta mada, tupo ndani ya matrix hivyo unayoyaona yote yanayoendelea duniani yameshapangwa tokea zamani na wakubwa wa Dunia.

Irani na Israeli sio maadui Kama tunavyoaminishwa maana taifa la Israeli inayokaliwa na wayahudi feki wa kizungu pamoja na Irani ya ayatollah. Mataifa yote hayo yamewekwa ili kutimiza ajenda za wakubwa wa Dunia.

Aliyekuwa mfalme wa Irani marehemu shah hakuwa mpumbavu alivyosema kwenye ndevu za ayatollah Khomeini pameandikwa made in UK, na aliyekuwa jasusi wa marekani Edward Snowden aliyekimbilia urusi hakuwa mpumbavu aliposema kuwa Osama bin laden ni CIA ambaye amekamilisha mission aliyopewa na Sasa yupo anakula Bata.
wenye pesa wanafanya watakalo.!
 
Ndio wawakirishi wetu wakubwa nchi za western sana sana wazanji, kila nchi wamejaa sisi wachunga Ngombe au wala Sato tutaishia kuwashangilia tu na kuona kama wazungu ni ndugu zetu...kama ilivo kiswahili tunakiona chetu ukitoka nnje inaonekana Lugha ya Kenya kwani ndio inajulikana kushinda hapa kwetu kwa wavaa miwani ya mbao na kufukuzia vikazi vya mishahara ya lakinne.
hatuna undugu na wazungu wala warabu. ila kwakigezo Cha Jesus Christ na samwaleko ndo watu wanagawana wazungu na walabu kuwafanya ndugu zetu.! mother fucker
 
Sio kweli

Iran hakuwataka mzozoz mpana, ndio maana kwenye kulipiza kisasi dhidi ya Kifo Cha Soleiman Kamanda wa Quds , walitoa taarifa Kwa Jirani ,.walijua Jirani watafikisha taarifa Kwa Marekan.

Pia hii juzi, walitoa taarifa Kwa Jirani ,Jirani wakafikisha taarifa .

Ili wamarekan wajiandae, na waliionya kua ikiingilia tuu, basi watapiga Bass zote za US.



Kama Intelligence ya Marekan ingekua Makini , basi wangelipata hili la Matumizi ya HYPERSONIC MISSILES , ..Marekan na Washirika wake, wali miscalculate wakajua Iran Shambulio lake lingekua la Drones, Ballistic na Cruse missiles, lkn wairan wakatumia Tactics za Warusi.

Wakatumia Ballistics na Cruses, Drones kuhakikisha Wamagharibu wanatumia Resources nyingi Kwa hizo Bosheniii

Alafu wakarusha Hypersonic Saba, ambazo zilipenyeza Moja kwa Moja .



Kama hiyo halitoshi ... Siwahungi mkono HAMAS ... Ila ukweli ni kua Intelligence ya Israel , Marekan ilifeli sana Kwa kushindwa ku anticipate SHAMBULIO LA HAMASI LA OKTOBA 7.


Kwa Ufupi, kwenye Dunia ya Ujasusi, kadiri unavyojifanya umekua kiteknolojia, ndivo ambavyo Kuna vacuum ya kupigwa na kitu kizito !!!.
Mkuu huna hata ka clip tuone actions za hypersonic vile zilidestroy israel kwa kujifanya wajuaji
 
Hiyo si kawaida boss wangu. Us ana teknolojia za satellite Bora zaidi pengine mshindani wake wa karibu katika Hili ni Russian Federation.
Mienendo yote ya mashambulizi ilionekana mapema sana kama ilivyokuwa baada ya kifo Cha General Suleiman.
Walisema mapema kwamba Iran inajindaa kuushambulia ikawa kweli
 
Hiyo si kawaida boss wangu. Us ana teknolojia za satellite Bora zaidi pengine mshindani wake wa karibu katika Hili ni Russian Federation.
Mienendo yote ya mashambulizi ilionekana mapema sana kama ilivyokuwa baada ya kifo Cha General Suleiman.
Walisema mapema kwamba Iran inajindaa kuushambulia ikawa kweli
kwenye satellite hata Japan wako vizuri sana
 
Sept 12 attack. Intelijensia ya USA ilikuwa wapi?
Kila kitu kiliratibiwa nadhani baada ya hapo,husiki tena,alkaida,talebani,sadamu huseni wala gadafi,aliyebaki ni irani naye anatafutwa sema kakimbilia kuomba hifadhi kwa mchnia na mrus...ila siku zake zinahesabika.
 
Back
Top Bottom