Hauwezi pambana na intel ya USA. Jamaa wanajua kile unachotaka kuwafanyia na kama hawajui watakupata tu baada ya kuwafanyia

Hauwezi pambana na intel ya USA. Jamaa wanajua kile unachotaka kuwafanyia na kama hawajui watakupata tu baada ya kuwafanyia

Sept 12 attack. Intelijensia ya USA ilikuwa wapi?
You mean sep 11, well walijua, but ni failure ya vyombo viwili vikuu vya usalama ku hold taarifa until dakika ya mwisho tukio lilipotokea

Is why after sept 11, US walifanya reform juu ya vyombo vyake vya usalama, ikiwemo kushare intel on the spot, lakin pia kupunguza mlolongo wa chain of command kuchukua hatua
 
Kabla ya Iran kurusha missiles kwenda Israel waandishi walimuuliza Biden kama anategemea Iran kuishambulia Israel. Biden alichojibu ni "very soon". Na kabla ya kutoa kauli hii wizara ya ulinzi ilikuwa ishasema ndani ya masaa 24 au 48. Kilichotokea kiliendana sawa sawa na kauli za viongozi wa Marekani.

Kutokana na chuki mliyonayo juu ya Marekani wanajitahidi katika kundi lenu la waru 10 lazima awe na mmoja ambae anawapa taarifa na kama hatapata mmoja wenu basi atatengeneza mwingine wa kufanana na nyie ili alijiunge na asipopata huyo stranger wa kuweza kuwaingia basi atatengeneza kundi la kupambana na nyie politically au militarily.

Hawa jamaa wanahakikisha katika kila Intelligence agency ya kila nchi lazima wawe na mtu mule wa kuwapatia details zozote zinazowahusu wao na wanachi wao wanaoishi katik nchi hio.

Wanawekeza pakubwa katika ulinzi na inteligensia maana wanajua wana upinzani mkubwa sana.

Kama unawabeza hawa jamaa na kutishia usalama wao nenda ka-google kuhusu Faisal bin Abdulaziz Al Saud aliegoma kuwauzia mafuta kisa walikuwa wana support Israel dhidi ya Palestine.
But they failed to stop trump shooter
 
Back
Top Bottom