Twin Tower
JF-Expert Member
- Jan 13, 2023
- 2,170
- 3,067
Puerto rico wanatisha walidukua wasengenyaji wa rais.Hata mawasiliano ya ikulu zote za afrika wanasikiliza yanayoendelea. Isipokuwa puerto rico. Puertorico wako vizuri kiintelejensia. Zingatia nchi ya puerto rico.
Wavaakobazi watanuna
Hiyo wewe ni pro wa mashoga wa magharibiWavaakobazi watanuna
Upupu mtupuHata kabla Russia kuishambulia Ukraine walitoa full info hadi siku ya kushambulia
😁😁😁😂Ilikuwa wazi kiwa Iran atashambulia. Yani ni sawa uwe unavuka mwenge mataa usiku ukiwa umefumba macho nikwambie utagongwa na ukishagongwa useme jamaa ni nabii
Siyo ushirikina, ni aina ya maarifa, pseudoscienceHawo jaamaaa ni zaidi ya tufikiriavyo, walikuwa na program inaitwaa remote viewing ukifwatilia utagundua ni washirikina
Ndio wawakirishi wetu wakubwa nchi za western sana sana wazanji, kila nchi wamejaa sisi wachunga Ngombe au wala Sato tutaishia kuwashangilia tu na kuona kama wazungu ni ndugu zetu...kama ilivo kiswahili tunakiona chetu ukitoka nnje inaonekana Lugha ya Kenya kwani ndio inajulikana kushinda hapa kwetu kwa wavaa miwani ya mbao na kufukuzia vikazi vya mishahara ya lakinne.Lakini kutwa wanasaka VISA kwenda USA.
Hakuna nchi inayoitwa Pueto Rico, Pueto Rico ni External Territory ya USA katika bahari ya Carribean, Pueto Rico wana Gavana, kama majimbo mengine ya Marekani.Puerto rico wanatisha walidukua wasengenyaji wa rais.
Lugha ya fasihi tu kukwepa sheria za kimtandao. Wasije kunichukulia kifaa changu cha mawasiliano.Hakuna nchi inayoitwa Pueto Rico, Pueto Rico ni External Territory ya USA katika bahari ya Carribean, Pueto Rico wana Gavana, kama majimbo mengine ya Marekani.
Aya, teeeh, teeeeh!Lugha ya fasihi tu kukwepa sheria za kimtandao. Wasije kunichukulia kifaa changu cha mawasiliano.
KweliSio kweli mkuu.
Iran imemuambia Isreal kabla , makombora yanarushwa jamaa wanatoa taarifa.Sio kweli mkuu.
Kwa hyo walipoweka wakasema watavamia siku alhamis usiku?Upupu mtupu
Kwamba Russia kaweka majeshi yake mpakani na Ukraine zaidi ya miezi mitatu, hata sisi wa Nainilinji tulikuwa tunajua kifuatacho ITV
lakini nyie walokole mlipewa maono na US