Hauwezi pambana na intel ya USA. Jamaa wanajua kile unachotaka kuwafanyia na kama hawajui watakupata tu baada ya kuwafanyia

anguko lao lipo tu
siku wakichanganya dini na siasa, the nation will fall apart. that is what is it.
 
Hizo zote walikuwa na fununu!
Hata october 7 walionya
Hamfuatilii habari nyi'e watu
 
wenye pesa wanafanya watakalo.!
 
hatuna undugu na wazungu wala warabu. ila kwakigezo Cha Jesus Christ na samwaleko ndo watu wanagawana wazungu na walabu kuwafanya ndugu zetu.! mother fucker
 
Mkuu huna hata ka clip tuone actions za hypersonic vile zilidestroy israel kwa kujifanya wajuaji
 
Hiyo si kawaida boss wangu. Us ana teknolojia za satellite Bora zaidi pengine mshindani wake wa karibu katika Hili ni Russian Federation.
Mienendo yote ya mashambulizi ilionekana mapema sana kama ilivyokuwa baada ya kifo Cha General Suleiman.
Walisema mapema kwamba Iran inajindaa kuushambulia ikawa kweli
 
kwenye satellite hata Japan wako vizuri sana
 
Sept 12 attack. Intelijensia ya USA ilikuwa wapi?
Kila kitu kiliratibiwa nadhani baada ya hapo,husiki tena,alkaida,talebani,sadamu huseni wala gadafi,aliyebaki ni irani naye anatafutwa sema kakimbilia kuomba hifadhi kwa mchnia na mrus...ila siku zake zinahesabika.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…