Have a Great one! Mr Miller

We mnyamwezi utaniuaa,
Kuna mnyamwezi mmoja alimfilisi baba anguu.

Nyie si watu wazuri

Aahahahahaa jamaniiii,

Mbona Dadii asione kuwa sie si watu wazuri?
Ila nimeshajua, ukimjulia mnyamwezi (yaani ukijua codes -mahala pa kubonyeza) utakula mema ya nchini ambayo hujawahi kujua kama yapo, ndo maana wanasemaga tunawafilisi hapana, tunauwezo wa kuhimili mizigo mizigo na siri nyingine kibao.

Polee kwa mzee wako kufilisiwa, na ukute hapo hakupewa mahaba yote....

Ila kama itapelekea nikuue hapana, basi naomba nikae mbali nawe. Napenda sana kula bata na kustarehe, mambo ya mada kesi nayaogopa hatarii.

Kasinde.
 
Halafu kingine huku Sasa hawatukubali jinsi tulivyo. Sawa sina sura sina shape ukiniona nipende hivyo hivyo wenzetu wanataka wanawake wazuri tuu. Wakati hata sisi wabaya huku mtaani mitongozo Kama yoteee
Na nyinyi si mnapenda wanaume wazuri bibie ? Acha na sisi tuwapende wale wazuri zaidi yenu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…