Have a Great one! Mr Miller

Ndo hao hao wa mtaani. Tatizo humu ni kumuamini mtu. Halafu mtaani ni rahisi sababu unamuona MTU feelings zinakuja tu. Huku unaweza zimia avatar au michango ya MTU ukakutana nae mtaani anaongea kwa kupiga kelele hatari. Lazima iwe kazi
[emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
aaah! aisee 93 yote hiyo!!!
hapana kwakweli [emoji1][emoji1][emoji23][emoji23]

asante sana chief Vladimirovich Putin

karibu tena....ulipotea sana!!!
Hahaha acha masiala ,utafanya nikuondolee miaka 43 ,ubaki na 50 ,,alafu hii 43 nimpe bbade ,ukichanganya na miaka yake 28 ...nadhan utakua umeshajua kwanini "Serengeti Boys" nayo ni Team ya Taifa[emoji23][emoji23][emoji23].

nipo mkuu nmerudi sasa !! Naona umezaliwa mwezi mmoja nawatu wakubwa wakubwa wa Dunia !!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…