I feel so much ecstasy...[emoji120][emoji120][emoji120][emoji122][emoji122][emoji122][emoji122][emoji122]
Always you going long as a skyscraper.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
I feel so much ecstasy...[emoji120][emoji120][emoji120][emoji122][emoji122][emoji122][emoji122][emoji122]
Always you going long as a skyscraper.
Mkuu, Uishi miaka 93 tu inakutosha .
Happy birthday Kwako mkuu!!
[emoji23] [emoji23] [emoji23]Ndo hao hao wa mtaani. Tatizo humu ni kumuamini mtu. Halafu mtaani ni rahisi sababu unamuona MTU feelings zinakuja tu. Huku unaweza zimia avatar au michango ya MTU ukakutana nae mtaani anaongea kwa kupiga kelele hatari. Lazima iwe kazi
Ujifunze nini tena ? Huu utafiti ni kwa maslahi yangu binafsi. Kwanza tuachane na habari za utafiti tusiharibu mada husika.Usinisahau basi. ....nijifunze na mimi
Hahaha acha masiala ,utafanya nikuondolee miaka 43 ,ubaki na 50 ,,alafu hii 43 nimpe bbade ,ukichanganya na miaka yake 28 ...nadhan utakua umeshajua kwanini "Serengeti Boys" nayo ni Team ya Taifa[emoji23][emoji23][emoji23].aaah! aisee 93 yote hiyo!!!
hapana kwakweli [emoji1][emoji1][emoji23][emoji23]
asante sana chief Vladimirovich Putin
karibu tena....ulipotea sana!!!
Miandiko haina ushirikiano kabisaaakwanini?
Na hii avatar imekutoa kimasomaso mkuu,ulicheza karata dume!
I feel so much ecstasy...[emoji120][emoji120][emoji120]
Aiseeh...
How?
Every girl?
Jesus, how does this dude get them all?
Nami naunga mkono hoja. Itabidi tukubali tu kuhama kambi ili kuunga mkono juhudi...
Hahahaha kwa mara ya kwanza nimesikia mtu anataka kufuata nyayo zangu... hizi ni dalili njema sana kwangu.
Nashangaa kwanini hawa wachuchu wanakuwa waoga juu yangu mi mtumishi
Ila babu, pamoja na kuunga mkono juhudi hizi, mimi kuna kakitu kananikereketa japo naogopa kuuliza hapa nisije nikaharibu hali ya hewa yakanikuta hapa kama yale yaliyomkuta mweshimiwa fulani!
[emoji122][emoji122][emoji122][emoji122]vizuri mkuu.[emoji3][emoji3][emoji3] nimepokea call hapa nimeambiwa imepangwa kwenda kusheherekea na wagonjwa hospitali...[emoji4][emoji4][emoji4]
Sawa mwaya naelewaAniva shost...nilikutania mwaya sikuwa serious!
Karibu