We nambie uliemzimikia mchumba tuanze mchakato upate project yako na weweMchumba itabidi nitafute project ya hivi na mimi...
Hahaha acha masiala ,utafanya nikuondolee miaka 43 ,ubaki na 50 ,,alafu hii 43 nimpe bbade ,ukichanganya na miaka yake 28 ...nadhan utakua umeshajua kwanini "Serengeti Boys" nayo ni Team ya Taifa[emoji23][emoji23][emoji23].
nipo mkuu nmerudi sasa !! Naona umezaliwa mwezi mmoja nawatu wakubwa wakubwa wa Dunia !!
Njoo kwangu mwayaYep!
I mean... Fck!
Its frustrating, man.
Na mimi pia huku kuna mtu nimemzimikia nahitaji msaada tafadhali.We nambie uliemzimikia mchumba tuanze mchakato upate project yako na wewe
Miandiko haina ushirikiano kabisaaa
Nipe ID yake nikufasaidieNa mimi pia huku kuna mtu nimemzimikia nahitaji msaada tafadhali.
Nitakupa......Nipe ID yake nikufasaidie
Hii hapa Mzigua90Nipe ID yake nikufasaidie
Ulitaka kuandika "Nikukuwadie" au "Nikusaidie" au ?Nipe ID yake nikufasaidie
Swali hata mwanangu hawezi kuuliza.Huwa najiuliza wadada wa JF wanajuaje hz tarehe za birthday za wakaka wa humu
NikukuwadieUlitaka kuandika "Nikukuwadie" au "Nikusaidie" au ?
Jubilation mode activated[emoji122]Euphoria mode[emoji13][emoji13]
Sijasema nataka nikutongoze kwangu mimi kutongoza ni uasi na wasi wasi,mimi nakueleza ukweli tu.Unakosea Sasa. Dalali hatongozwi
Nimetania jamani...shost hajanizoea kumbehahaha [emoji1][emoji1][emoji1]
afadhali maana nilikua nataka nije unielezee vizuri
Kama hunitaki si unaniambia tu.......!Unakosea Sasa. Dalali hatongozwi