Mr Miller
JF-Expert Member
- Jan 24, 2017
- 11,449
- 25,768
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mtu tu akikupenda anaweza kuku wish, na sio kimapenzi ila jamii forums tunaishi ivyo na siyo lazima umaarufu.Una umaarufu gani humu??[emoji15] [emoji15]
Teh au Daby ndie Miller Jf kichaka ati
I'm waiting for an invitation..!thank you very much cute b
Aniva shost...nilikutania mwaya sikuwa serious!Mtu tu akikupenda anaweza kuku wish, na sio kimapenzi ila jamii forums tunaishi ivyo na siyo lazima umaarufu.
Labda Mapacha...lol
We mnyamwezi utaniuaa,
Kuna mnyamwezi mmoja alimfilisi baba anguu.
Nyie si watu wazuri
Chukua huyu aliyekuanzishia thread. Mapema kabisa asubuhi umrudishe nimkaguethank you so much chief, our so called gran'pa Asprin
asante kwa zawadi babu maana wewe ndio wa kwanza kunipa zawadi, naomba niwaone wajukuu zako basi nijichagulie mmoja wa kunywa nae maziwa!! [emoji39][emoji39]
Rafiki huyu jamaa ni handsome kama ilivyo avatar yake?
Umeridhika na jibu lake? Mi nehi... labda kama mmoja katumia mkono wa kushoto na mwingine wa kulia
Ndio rafiki sema Ana sura ya kipole ndo shida
Mmmmh[emoji15] [emoji15] [emoji15] ....kumi kidogo MziguaHahahahaaa.. Ninyooshee tu. Nawajua Kama kumi hivi humu