toughlendon_1
JF-Expert Member
- Feb 7, 2018
- 6,283
- 11,253
Why are you attacking me personally ? Unataka unachoamini wewe na mimi niamini ivyo ivyo ?...Mbona unaingilia uhuru wangu ? . Yan hutofautiani na mtu anae mwambia mwenzake your going to hell yan kama Mungu kamtuma akwambie hivyo...Freemasons ni stupid hoax?!You are then the stupid hoax.Hata Shetani na wao wenyewe wanakucheka.
Naku-shangaa ku-question the obvious.Why are you attacking me personally ? Unataka unachoamini wewe na mimi niamini ivyo ivyo ?...Mbona unaingilia uhuru wangu ? . Yan hutofautiani na mtu anae mwambia mwenzake your going to hell yan kama Mungu kamtuma akwambie hivyo...
Freemason ni kama skauti au chipukizi ya watu wenye pesa na maisha bora wewe uliyeharibiwa akili na consiparicies.Freemasons ni stupid hoax?!You are then the stupid hoax.Hata Shetani na wao wenyewe Freemasons wanakucheka.You are very ignorant young man.
Ukiamua kutotii utaishi dunia ya nani bila Yesu mkuu.Ni hivii,you will either have to join them or you are no more.It's depends on your goals and how you define "win the battle" If your goal and commitment is to die in hell with satan & some friends, I cannot say you have lost the battle if that happens.
Katika vita, kuna wakati kifo ni sehemu ya ushindi. Uhuru, kushinda na kushindwa kunategemeana na malengo ya kivita ya mpiganaji husika.
Hata sasa upo huru kuchagua kutokutii mipango ya hawa uliowaandika huku ukijua matokeo yake, na matokeo yatakapokupata still wewe ni mshindi.
Atakayekuambia wewe si mshindi ni yule ambaye ana malengo tofauti na wewe.
Mkuu we hufai kuwa mwalimu, you were supposed to come with facts na sio ulivyoni- attack, sio kila mtu anajua hayo mambo wengine hawajui aisee.Naku-shangaa ku-question the obvious.
Mm sio binadamu muoga boss. Siwezi tii sababu naogopa moto.Ukiamua kutotii utaishi dunia ya nani bila Yesu mkuu.Ni hivii,you will either have to join them or you are no more.Anyway tusiendelee kubishana,vimbwanga vinakuja,decide kutotii halafu huna Yesu,hell will break loose on you.
ThibitishaNa zile damu za watu mnazovuna na watoto wachanga mnaotoa makafara,danganya wengine wewe sio mimi.
I am sorry.Mkuu we hufai kuwa mwalimu, you were supposed to come with facts na sio ulivyoni- attack, sio kila mtu anajua hayo mambo wengine hawajui aisee.
Kwa hiyo hayo waliyo orodhesha kwamba watafanya dhidi yetu ukilingasha na uzuri wao inalipa!Dah,akili mbovu kabisa hizi.Kwa hiyo tuwaache watuue for their money!Hizi ndo topic za kukaa jamii intelligence....
Zinahitaji deep thinking ya kiwango cha juu sana.
Mimi kama mimi nilishazifatilia sana mwisho wa siku nikavutiwa zaidi na agenda zao na kutamani sana kujiunga nao.
Kwa sababu wana mengi mazuri wanayotufanyia kuliko mabaya yao ambayo mengi ni ya kusadikika tu.
Mfano IMF ni part ya new world order wameipatia tanzania 1.2 trillion tsh hili ni la kuwashukuru sana wao kwa maana hatukuwa na sehemu ya kupata hiyo hela ya bure
Watuue kwa money wakati tunaongezeka kama kumbikumbi kila siku, wewe kilaza kweli.Kwa hiyo hayo waliyo orodhesha kwamba watafanya dhidi yetu ukilingasha na uzuri wao inalipa!Dah,akili mbovu kabisa hizi.Kwa hiyo tuwaache watuue for their money!
Napata shida kuamini kwamba huyo unayejibizana naye kaelewa hizo agenda.Kwa hiyo hayo waliyo orodhesha kwamba watafanya dhidi yetu ukilingasha na uzuri wao inalipa!Dah,akili mbovu kabisa hizi.Kwa hiyo tuwaache watuue for their money!
Mtu atunge ili apate faida gani?Halafuu, mbona mambo yanaonekana live, itakuwaje conspiracy, hivi wewe ni mzima kweli.Kufuatilia maconspiracy kunaweza kukupa mtu wehu. Nyingi ni mambo ya kutungwa na matapeli.