Have you ever seen the Secret Covenant of the New World Order? That is, what together they have done against you and plan to do against you?

Have you ever seen the Secret Covenant of the New World Order? That is, what together they have done against you and plan to do against you?

Freemasons ni stupid hoax?!You are then the stupid hoax.Hata Shetani na wao wenyewe wanakucheka.
Why are you attacking me personally ? Unataka unachoamini wewe na mimi niamini ivyo ivyo ?...Mbona unaingilia uhuru wangu ? . Yan hutofautiani na mtu anae mwambia mwenzake your going to hell yan kama Mungu kamtuma akwambie hivyo...
 
Naku-shangaa ku-question the obvious.
 
It's depends on your goals and how you define "win the battle" If your goal and commitment is to die in hell with satan & some friends, I cannot say you have lost the battle if that happens.

Katika vita, kuna wakati kifo ni sehemu ya ushindi. Uhuru, kushinda na kushindwa kunategemeana na malengo ya kivita ya mpiganaji husika.

Hata sasa upo huru kuchagua kutokutii mipango ya hawa uliowaandika huku ukijua matokeo yake, na matokeo yatakapokupata still wewe ni mshindi.
Atakayekuambia wewe si mshindi ni yule ambaye ana malengo tofauti na wewe.
Ukiamua kutotii utaishi dunia ya nani bila Yesu mkuu.Ni hivii,you will either have to join them or you are no more.

Anyway tusiendelee kubishana,vimbwanga vinakuja,decide kutotii halafu huna Yesu, hell will break loose on you.
 
Ukiamua kutotii utaishi dunia ya nani bila Yesu mkuu.Ni hivii,you will either have to join them or you are no more.Anyway tusiendelee kubishana,vimbwanga vinakuja,decide kutotii halafu huna Yesu,hell will break loose on you.
Mm sio binadamu muoga boss. Siwezi tii sababu naogopa moto.
 
Thibitisha
Hii haina haja ya kuthibisha,it is clear, witstleblowers wamethibitisha.

After all chochote nitakacho-leta hapa utakikataa na kuki-ridicule.
 
Mkuu we hufai kuwa mwalimu, you were supposed to come with facts na sio ulivyoni- attack, sio kila mtu anajua hayo mambo wengine hawajui aisee.
I am sorry.

Be ready to learn basi mkuu,najua haya mambo ni mageni kwa wengi.

Unajua watu wa JF wana ridicule sana, na hiyo ni tactic yao ya kuku-silence. Sasa kuwamudu, you come down hard on them.
 
Hizi ndo topic za kukaa jamii intelligence....
Zinahitaji deep thinking ya kiwango cha juu sana.
Mimi kama mimi nilishazifatilia sana mwisho wa siku nikavutiwa zaidi na agenda zao na kutamani sana kujiunga nao.

Kwa sababu wana mengi mazuri wanayotufanyia kuliko mabaya yao ambayo mengi ni ya kusadikika tu.

Mfano IMF ni part ya new world order wameipatia tanzania 1.2 trillion tsh hili ni la kuwashukuru sana wao kwa maana hatukuwa na sehemu ya kupata hiyo hela ya bure
 
Kwa hiyo hayo waliyo orodhesha kwamba watafanya dhidi yetu ukilingasha na uzuri wao inalipa!Dah,akili mbovu kabisa hizi.Kwa hiyo tuwaache watuue for their money!
 
Kwa hiyo hayo waliyo orodhesha kwamba watafanya dhidi yetu ukilingasha na uzuri wao inalipa!Dah,akili mbovu kabisa hizi.Kwa hiyo tuwaache watuue for their money!
Napata shida kuamini kwamba huyo unayejibizana naye kaelewa hizo agenda.
 
Kufuatilia maconspiracy kunaweza kukupa mtu wehu. Nyingi ni mambo ya kutungwa na matapeli.
 
Kufuatilia maconspiracy kunaweza kukupa mtu wehu. Nyingi ni mambo ya kutungwa na matapeli.
Mtu atunge ili apate faida gani?Halafuu, mbona mambo yanaonekana live, itakuwaje conspiracy, hivi wewe ni mzima kweli.

Ujinga huu wa kuita ukweli conspiracy,na kuamini ujinga, ndio uliotufikisha hapa tulipo.
 
Back
Top Bottom