It's depends on your goals and how you define "win the battle" If your goal and commitment is to die in hell with satan & some friends, I cannot say you have lost the battle if that happens.
Katika vita, kuna wakati kifo ni sehemu ya ushindi. Uhuru, kushinda na kushindwa kunategemeana na malengo ya kivita ya mpiganaji husika.
Hata sasa upo huru kuchagua kutokutii mipango ya hawa uliowaandika huku ukijua matokeo yake, na matokeo yatakapokupata still wewe ni mshindi.
Atakayekuambia wewe si mshindi ni yule ambaye ana malengo tofauti na wewe.